Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.... more
FAQs about Learning by Ear – Elimu ya Jamii:How many episodes does Learning by Ear – Elimu ya Jamii have?The podcast currently has 41 episodes available.
March 11, 2011Elimu – Kipindi 6 – Hadithi ya MalaikaMalaika ndiyo kwanza amerejea kutoka katika mahafali mjini na anakwenda nyumbani kusherehekea na familia yake. Huko ndiko majaaliwa yake yatakapoamuliwa...more10minPlay
March 11, 2011Elimu – Kipindi 5 – Hadithi ya MalaikaHuko chuoni, Malaika anawajibika kumaliza elimu ya vitendo ili kukamilisha mwaka wa masomo. Kwa msaada wa rafiki yake Malaika amefanikiwa kupata shirika atakakofanyia mafunzo hayo. Je anafaulu mtihani wake wa mwisho?...more10minPlay
March 11, 2011Elimu – Kipindi 4 – Hadithi ya MalaikaMalaika anakwenda nyumbani kwa likizo yake ya kwanza. Anaitembelea shule yake ya zamani kuwahamasisha vijana kusoma na kuzuia mipango mingine ya wazazi wake kutaka aolewe. Je anaweza kuingiliana na maisha ya kijijini?...more10minPlay
March 11, 2011Elimu – Kipindi 3 –Hadithi ya MalaikaMalaika anajifunza kuwa kuna vitu vya kujifunza nje ya masomo. Cindy, mkaazi mwenzake anamuonyesha jinsi ya kufurahia maisha ya chuoni lakini bado anakabiliwa na changamoto ya kutojiangusha yeye mwenyewe au kijiji chake...more11minPlay
March 11, 2011Elimu – Kipindi 2 – Hadithi ya MalaikaKwa msaada wa kijiji chake, na mkopo binafsi, Malaika hivi sasa anaweza kulipia ada ya chuo kikuu.Mwalimu wake wa zamani anamsindikiza katika jiji kubwa kumsaidia kujisajili na kupata makazi chuoni....more10minPlay
March 11, 2011Elimu – Kipindi 1 – Hadithi ya MalaikaTutajifunza zaidi kupitia hadithi ya Malaika, jinsi ya kusoma chuo kikuu. Msichana huyo wa kijijini alijitofautisha na wengine alipowashinda wavulana wote katika mtihani wake wa mwisho shuleni. Je nini mustakhbali wake?...more10minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 10 – Afrika Kulikoni?Zapcom na timu yake wameibadili taswira ya kijiji chao. Katika kipindi hiki cha mwisho, timu yetu inatuaga huku ikiendelea kutafuta fursa kubwa zinazotolewa na teknolojia mpya ya mawasiliano kwa bara laf Afrika....more12minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 09 – Ustawi wa BiasharaHuku fursa za teknolojia mpya ya mawasiliano zikiongezeka, inatoa mwanya wa kupanua biashara. Bonyeza hapa uungane na timu yetu....more12minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 08 – Kuamua kabla kuingia MtandaoniMjomba Kiilu amekasirika na ameifukuza timu kwenye mkahawa wa intaneti. Lakini timu hiyo imefanya kosa gani?...more12minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 07 – Virusi na wizi wa Muziki kupitia MtandaoOh Hapana! Kompyuta zote kwenye mkahawa wa intaneti zimeathiriwa na virusi. Nini kimefanyika? Na watalitatua vipi tatizo hilo?...more12minPlay
FAQs about Learning by Ear – Elimu ya Jamii:How many episodes does Learning by Ear – Elimu ya Jamii have?The podcast currently has 41 episodes available.