Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.... more
FAQs about Learning by Ear – Elimu ya Jamii:How many episodes does Learning by Ear – Elimu ya Jamii have?The podcast currently has 41 episodes available.
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 06 – Kituo cha huduma za IntanetiZapcom na timu yake wanagundua fursa chungu tele za mawasiliano ya kisasa kila kuchao. Wanajifunza pia jinsi ya kutumia ujuzi huu mpya katika maisha yao ya kila siku – hata katika mkahawa mdogo wa mjomba Kiilu kijijini....more12minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 05 – Kujali na Kulinda MazingiraHufanya nini na simu ya zamani ya mkononi? Hutengenezwa na vifaa gani? Na husababisha athari gani kwa mazingira? Timu yetu inajaribu kujibu maswali haya....more12minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 04 – Kucheza na KulipaZapcom na timu yake walionekana kupata mawazo mapya kila mara. Hata hivyo kuna shinikizo kubwa. Ukosefu wa miundombinu hausaidii hali. Je timu hii inakabiliana vipi na hali hii?...more12minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 02 – Kufungua MtandaoRafiki yetu kijana Zapcom na timu yake wanakaribia kutimiza ndoto yao. Je watafaulu?...more12minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 03 – Kutafiti kwenye MtandaoMkahawa mpya wa huduma za intaneti umefunguliwa na unafanya kazi. Lakini kuna changamoto nyingi ambazo marafiki zetu wanajifunza kukabiliana nazo huku biashara ikikua....more12minPlay
March 11, 2011Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 01 – Mkahawa wa IntanetiAnayetufungulia kipindi hiki ni Zapcom, kijana chipukizi mwenye shauku kutokana na elimu mpya aliyojifunza. Ndoto yake kubwa ni kukiinua kijiji chake. Tuungane naye....more12minPlay
March 09, 2011Historia – Kipindi 10 – UbaguziKatika kipindi chetu cha mwisho, babu Peter anatueleza kuhusu enzi mbaya ya historia. Kupitia hadithi zake tumejifunza mengi katika mfululizo wa vipindi hivi. Kwa bahati nzuri, tunaweza kuvikamilisha kwa furaha!...more12minPlay
March 09, 2011Historia – Kipindi 09 – Makundi ya kupigania uhuruTangu katikati ya karne ya 20 mataifa yote ya Afrika wamejipatia uhuru. La huzuni ni kwamba baadhi yao yalilazimika kupigana vita vya umwagaji damu kujikomboa, hasa yale yaliyokuwa chini ya utawala wa Wareno. Sawa, babu?...more12minPlay
March 09, 2011Historia – Kipindi 08 – UkoloniSi siri kwamba eneo kubwa la Afrika lilitawaliwa na makoloni Wazungu. Lakini ilikuwaje babu Peter? Ni kitu gani walichokitaka? Na kuzigawa nchi na watawala wao kulifanyika vipi?...more12minPlay
March 09, 2011Historia – Kipindi 07 – Ustaarabu wa Kiafrika na UkoloniKatika ufalme wa zamani wa Ashanti, msichana kuvunja ungo na kuwa mwanamke lilikuwa tukio kubwa, na kila mtu alialikwa kusherekea kukua kwake! Hiyo ilikuwa mpaka ngoma zilipopigwa kutangaza kuwasili kwa mzungu...more12minPlay
FAQs about Learning by Ear – Elimu ya Jamii:How many episodes does Learning by Ear – Elimu ya Jamii have?The podcast currently has 41 episodes available.