Learning by Ear – Elimu ya Jamii

Learning by Ear – Elimu ya Jamii

Download on the App Store

Learning by Ear – Elimu ya Jamii episodes

  • Historia – Kipindi 06 – Utumwa
    Shuleni, baadhi ya wanafunzi hawataki kucheza na Philip tena – kwa sababu ni mzungu. Lakini je anaweza kulaumiwa kwa yale mababu zake waliyoyafanya? Walifanya nini hasa? Na je, maisha yalikuwaje kama mtumwa? Tuulize!
    12 min

About Learning by Ear – Elimu ya Jamii

From the publisher's feed

Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.