Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha.Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi amb... more
FAQs about Maisha Ni Kuthubutu Podcast:How many episodes does Maisha Ni Kuthubutu Podcast have?The podcast currently has 119 episodes available.
December 19, 2021Kanuni Mbili (02) Za Kupangilia Muda Wako Vizuri (Time Management.)Muda ndio rasimali ya pekee ambayo haina mbadala, masaa 24 ambayo unayo unapaswa kuyatumia vizuri kwa kufanya mambo ya Muhimu na kuacha kufanya mambo yasiyo na umuhimu na ambayo yanakupotezea Muda wako, Hivyo kutumia Muda wako vizuri ni lazima ujue Kupangilia Muda wako vizuri kwa maana hiyo podcast hii ni Maalumu kwa ajili ya kukusaidia wewe kuwa na matumizi mazuri ya muda wako. Sikiliza Podcast hii mpaka mwisho pia subscribe channel hii Ili Uwe wa kwanza kupata Podcast mpya kila wiki...more12minPlay
December 12, 2021Mambo Sita (06) Ambayo Unapaswa Kufanya Ili Upate Kibali Machoni Pa Watu.Nguvu ya Kibali imebeba Mafanikio yako na mtaji wa mtu ni watu, ili watu wewe mtaji wako ni lazima uwe na nguvu ya Kibali Ili uweze kukubalika zaidi; Sikiliza episode hii mpaka mwisho baada ya kusikiliza utagundua jinsi gani ulikuwa unakosea na kushindwa kupata Kibali kwa watu. Karibu sana kusiliza episode kwenye channel hii ya “Maisha Ni Kuthubutu”...more15minPlay
December 05, 2021Usikate Tamaa Kama Kweli Unataka Kupiga Hatua Kwenye Maisha Yako.Usikate tamaa sababu umezaliwa kufaniwa kwa maana hiyo Sikiliza episode hii mpaka mwisho itakupa nguvu ya kupambania malengo yako na ndoto zako pasipo kukata tamaa na kuweza kusonga mbele kwenye maisha yako...more11minPlay
November 28, 2021Makosa Matano (05) Ambayo Unafanya Na Kupelekea Kupoteza Fedha Zako.Kufanikiwa kwenye eneo la fedha unahitaji sana kuwa na maarifa sahihi juu ya fedha, kupitia podcast hii kuwa na uhakika utaweza kusahihisha makosa haya ambayo hupelekea kupoteza fedha zako ikiwa tu utaweka utekelezaji kwenye maarifa haya kazi kupitia Podcast hii na kuweza kupiga hatua kwenye eneo la fedha...more16minPlay
November 21, 2021Mambo Sita (06) Ya Kufanya Ili Uwe Msomaji Mzuri Wa VitabuKusoma vitabu ni tabia, maarifa ni nguzo ya mafanikio kwenye maisha yako kama utafanyia kazi kwa maarifa ambayo unajifunza; maarifa mengi yapo kwenye vitabu kwa maana hiyo kupitia episode hii utaenda kuwa msomaji mzuri wa vitabu....more15minPlay
November 14, 2021Lugha Tano (05) Za Upendo Kwenye Mahusiano (The 5 Language Of Love)Mahusiano yanajengwa na mawasiliano, bahati mbaya mahusiano mengi wana wasiliana kwa namna ambayo sio sahihi kwa sababu kila mtu mtu kwenye mahusiano ana lugha yake ya upendo ambayo akionyeshwa lugha hiyo anaona anapendwa, anathaminiwa na kujaliwa kwa maana hiyo ni vema sana kujua lugha ya upendo ya mpenzi wako, mchumba wako, mume wako au mke wake na uweze kuwasiliana nae kupitia lugha ya upendo ambayo unayo na kuweza kudumisha mahusiano yako/yenu. Sikiliza mpaka mwisho wa episode hii ujifunze na kuongeza maarifa kuhusu mahusiano. Usisahau subscribe na kuandika maoni yako....more13minPlay
November 06, 2021Jinsi Ya Kugundua Kusudi La Kuzaliwa Kwako.Utajiri mkubwa haupo kwenye machimbo ya almasi na dhahabu, utajiri mkubwa upo makaburini kwa maana hiyo usikubali kufa na kusudi ndani yako na nafasi pekee ya kuanza kuliishi na kutimiza kusudi lako ni sasa; kupitia episode hii utaweza kugundua kusudi la kuzaliwa kwako hapa duniani na unapaswa kufanya nini (Your Purpose). Sikiliza episode hii mpaka Mwisho pia usisahau ku-subscribe na kuandika comment yako hapo chini✍🏾...more13minPlay
October 25, 2021Jinsi Ya Kujitofautisha Na Watu Wengine Bila Kupoteza Uhalisia WakoWewe umezaliwa na upekee ndani yako na upekee wako ndio utambulisho wako kwa maana hiyo wewe ni wa kitofauti sana hivyo anza kuishi uhalisia wa maisha yako Ili uweze kujitofautisha na watu wengine kwenye maeneo tofauti tofauti ambayo upo kwa sababu ndani yako umebeba kusudi maalumu ambalo halifanani na mtu yeyote hapa duniani...more12minPlay
October 14, 2021Aina Tano (05) Za Nguvu Zinaleta Mafanikio Kwenye Maisha Yako...Je unajua umebeba nguvu na uwezo mkubwa ndani yako? Lakini kwa bahati mbaya unatumia sehemu ndogo ya uwezo wako na kupelekea kushindwa kufanikiwa kwa kiwango cha juu kwenye malengo yako, maono yako, ndoto zako n.k kwa maana hiyo unahitaji sana kujenga nguvu hizi Ili uweze kupiga hatua kwenye maisha yako na kufanikiwa kwa sababu Unastahili kufanikiwa na Inawezekana. Usisiahau kuniandikia maoni yako hapo chini kisha subscribe channel hii kwenye Apple Podcast na platform zengine. kauli mbiu: “Maisha Ni Kuthubutu”...more25minPlay
October 02, 2021Jitambue Wewe Ni Nani?Elimu ya kujitambua haifundishwi shuleni na vyuo vikuu na kupeleka watu wengi kujitambua kwa kiwango kidogo, ili uishi Maisha yenye furaha msingi wa kwanza ni kujitambua wewe ni nani kwa maana hiyo episode hii inakupa uwezo wa kujitambua kwa kiwango cha juu baada ya kusikiliza mpaka mwisho episode hii...! Usisahau ku subscribe kwenye Apple Podcast pia niandike maoni yako muhimu sana ✍🏾. Kauli Mbiu: “ Maisha Ni Kuthubutu”...more18minPlay
FAQs about Maisha Ni Kuthubutu Podcast:How many episodes does Maisha Ni Kuthubutu Podcast have?The podcast currently has 119 episodes available.