Kujitambua ni nini?
Kujitambua, ni uwezo wa kujifahamu/kujijua wewe ni nani unapaswa kufanya nini na kwa wakati gani.
Usipojitambua wewe ni nani tambua watu ambao wamejitambua kukutumia wewe kutimiza malengo yao, ndoto zao pamoja na maono yao.
Kwahiyo...
Kujitambua ni wajibu wako wa asilimia 100% siyo kujitambua tu badala yake kujitambua kwa kiwango cha juu.
Dhana potofu kudhani kujitambua ni kuwa na umri mkubwa, cheo kikubwa, nyazifa fulani, kiwango cha elimu n.k hii siyo ishara kuwa unajitambua kwa kiwango cha juu.
“Usipogundua kusudi lako, bado hujaanza kuishi maisha ambayo unapaswa kuishi hapa duniani”- Lolo_facts.
Swali ya kujiuliza....
1. Unajua kusudi la kuzaliwa kwako hapa duniani?
2. Je, unajitambua kwa kiwango gani?
3. Ni mambo gani ambayo yanaonyesha wewe unajitambua kwenye maisha yako?
Ni maswali rahisi kwa kuyaona lakini kwa kujibu ni kazi ngumu kama hujajitambua kwa kiwango cha juu.
Lakini...
Leo utaenda kujitambua kwa kiwango cha juu, upo tayari?
Vizuri, kwa kuwa tayari kujitambua ni kutazama maeneo matano ambayo ni Muhimu kwa wewe kujitambua kwa kiwango cha juu;
1. Ubora wako (Your Strengths).
2. Madhaifu yako (Your weakness).
3. Tabia zako (Your habits).
4. Fikra zako (Your thoughts).
5. Hisia zako (Your emotions).
Ni hivi....
Maeneo haya matano kuyaelewa vizuri ni sehemu moja ambayo utapata kujua ambayo ni kusikiliza podcast ya maisha ni Kuthubutu...
...utajifunza mengi na kwa kina ni ushindwe tu.
Unaweza Kusikiliza app/platform ya Apple podcast, google podcast, audiomack, amazon music, Spotify, castbox, Anchor fm n.k
Au....
Bofya link hapa chini Kusikiliza madini haya ya nguvu ya kujitambua kwa kiwango cha juu.