Kuna marafiki ukiwa nao unapoteza furaha ya maisha na unadumaa kwa kutopiga hatua, inawezekana wewe ni shahidi wa hili si ndiyo?
Vizuri kwa kujibu ndiyo.
Kwahiyo...
Una haki ya kuwapiga chini aina fulani ya marafiki siyo ubaya, lakini kwa kujali furaha ya moyo wako na shauku ya kupiga hatua zaidi kwenye maisha yako
Hivi...
Unajisikiaje rafiki yako wa karibu anakusema vibaya wakati haupo na kukutangaza kwa mabaya kwa watu wengine?
Utajisikia vibaya si ndiyo?
Kwa sababu...
Utamuona ni snitch na mtu mnafiki ambaye hapaswi kuwa rafiki yako kabisa na kuwa tayari kumpiga chini maana siyo rafiki mzuri kabisa.
Hata ingekuwa ni mimi, siwezi kuwa na rafiki mnafiki na snitch maana wanaweza kufanya ushindwe kuishi kwa uhuru, kwa kuogopa unafiki na habari zako za ndani kusambaa kwa watu wengine; halafu ni wazushi hao aisee had wanaboa yaaani!
Kuna marafiki wenye sifa zifuatazo ambao wakiwa nazo kua makini sana;
📌 marafiki wabinafsi na wachoyo,
📌 marafiki wanafiki,
📌 marafiki ambao wanakusema vibaya wakati ukiwa haupo,
📌 marafiki ambao wanavunja ahadi kwa makusudi,
📌 marafiki ambao wanataka uwe mtumwa au kibaraka wao.
Hata usijali kuwa nimekuacha kwa kuorodhesha marafiki wa aina hiyo si ndiyo?
Basi sekunde 10 unaenda kuelewa kila kitu kwa kina mifano kama yote.
Ni kufanya jambo moja ambalo najua upo tayari si ndiyo?
Basi...
Bofya kwenye bio sasahivi kusikiliza episode hii yenye madini ina dakika 13 tu za wewe kujua kila kitu.
Chukua hatua sasa bila kughairisha, muda ni sasa.