Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha.Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi amb... more
FAQs about Maisha Ni Kuthubutu Podcast:How many episodes does Maisha Ni Kuthubutu Podcast have?The podcast currently has 119 episodes available.
September 22, 2021Mambo Matano (05) Ya Kufanya Ili Uweze Kutimiza Malengo YakoHii ni kwa watu wanaotaka kutimiza malengo yao pasipo kujali umeanza au bado hujaanza, unaweza kutimiza malengo yako ukijua sifa za malengo sahihi na kujua siri muhimu za kutambua Ili uweze kutimiza malengo yako; kinachohitajika ni uteyari wako pamoja na uthubutu wa kufanyia kazi ambayo utajifunza kupitia episode hii. Usisahau ku subscribe na kuanndika comment yako umejifunza nini kupitia episode hii. Kauli Mbiu: “MAISHA NI KUTHUBUTU”...more16minPlay
September 21, 2021Mambo Matano (05) Ya Kufanya Ili Uweze Kutimiza Malengo YakoHii ni kwa watu wanaotaka kutimiza malengo yao pasipo kujali umeanza au bado hujaanza, unaweza kutimiza malengo yako ukijua sifa za malengo sahihi na kujua siri muhimu za kutambua Ili uweze kutimiza malengo yako; kinachohitajika ni uteyari wako pamoja na uthubutu wa kufanyia kazi ambayo utajifunza kupitia episode hii. Usisahau ku subscribe na kuanndika comment yako umejifunza nini kupitia episode hii. Kauli Mbiu: “MAISHA NI KUTHUBUTU”...more0minPlay
September 15, 2021Sababu Tano (05) Za Kwanini Za Kwanini Unapaswa Kuepuka Majuto Kwenye Maisha YakoJe unajua kwamba majuto ni adui wa maisha yako? Ndio adui ni adui mkubwa sana furaha yako, mahusiano yako, malengo yako, ndoto zako n.k hivyo ukichelewa kuchukua hatua kuyaepuka majuto kwenye maisha yako tegemea kupata msongo mkubwa wa mawazo (stress) na kutopiga hatua sababu majuto mara zote hupoteza hamasa pamoja na kutokuwa mwenye ufanisi kwenye kitu unachofanya hivyo njia sahihi ya kuepuka na kuyashinda majuto ni kusikiliza episode hii mpaka mwisho. Usisahau ku Subscribe na kuandikia maoni yako✍🏾...more11minPlay
September 05, 2021TABIA TANO (05) ZA KUEPUKA ILI UFANIKIWE KWENYE MAISHA YAKOKiwango cha mafanikio yako inategemea sana na muenendo wa tabia zako za kila siku, tabia ina nafasi kubwa ya kufanya ufanikiwe au usifanikiwe kwenye maisha yako hivyo unahitaji maarifa haya ambayo yatakusaidia kuepuka tabia zuizi ili ufanikiwe kutimiza malengo yako, ndoto zako pamoja na maono yako. Kumbuka unastahili kufanikiwa ndio maana umezaliwa......! Sikiliza mpaka mwisho podcast hii Usisahau kuniandikia maoni yako na subscribe ili uwe wa kwanza kupata Episode mpya kwenye channel hii....more16minPlay
August 07, 2021Sifa Sita (06) Za Mtu Anayetaka Mafanikio.Kiwango cha mafanikio kinategemea sana kiwango chako cha kujitambua, unatamani kufanikiwa kwenye kitu unachofanya lakini hujui nini ufanye Ili ufanikiwe kwenye kitu unachofanya kwa maana kutimiza malengo yako, ndoto zako pamoja na maono yako; Lakini tafiti zimefanyika kuna sifa sita ambazo mtu akizijenga anavuta mafanikio kwenye maisha yake, kupitia podcast jiandaee kuwa mtu mwenye mafanikio makubwa baada ya kusikiliza Podcast hii mpaka mwisho na kujua sifa ambazo mtu anataka mafanikio anapaswa kuwa nazo. Kauli Mbiu: “MAISHA NI KUTHUBUTU”...more21minPlay
July 31, 2021Mambo Matano (05) Ya Kufanya Ili Uongeze Uwezo Wa KujiaminiHofu na uoga imekuwa kizuizi cha kushindwa kutimiza malengo yako pamoja na ndoto zako? Kupitia Podcast hii utakuwa mtu mwenye kujiamini kwa kujua nini ufanye ili uweze kushinda na Kutawala hofu na uoga kwenye maisha yako; kujiamini ni matokeo ya kushinda hofu na uoga ili upate matokeo makubwa hakikisha unafanyia kazi uliyojifunza kupitia Podcast hii na uanze kuwa mtu mwenye kujiamini inawezekana sana kutimiza malengo yako, ndoto zako pamoja na maono yako. kauli Mbiu: “MAISHA NI KUTHUBUTU”...more14minPlay
July 22, 2021Mambo Matano (05) Ya Kufanya Kabla Ya Kutumia Fedha YakoElimu ya fedha haifundishwi shuleni na vyuo vikuu na kupeleka watu wengi kupoteza fedha zao kirahisi kwa sababu ya kukosa maarifa sahihi ya fedha; Leo nimekuandalia mambo matano ya kufanya kabla ya kutumia fedha au pesa yako Ili uweze kufanikiwa kwenye eneo la fedha kwa kupata maarifa sahihi ambayo shuleni wala vyuo vikuu hukufundishwa. Kauli Mbiu: “MAISHA NI KUTHUBUTU”...more21minPlay
June 18, 2021Mambo (07) Ya Kuzingatia Ili Uongeze Thamani Ya Maisha Yako Leo.Jifunze kupitia Lolo Facts Podcast kila wiki podcast za maisha na maendeleo binafsi...more16minPlay
June 18, 2021Mambo (07) Ya Kuzingatia Ili Uongeze Thamani Ya Maisha Yako Leo.Sikiliza Lolo Facts Podcast ujifunze Mambo (07) ya kuzingatia Ili uongeze Thamani ya Maisha yako leo...more16minPlay
FAQs about Maisha Ni Kuthubutu Podcast:How many episodes does Maisha Ni Kuthubutu Podcast have?The podcast currently has 119 episodes available.