Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Pastor Biseko Kimasa's podcast:How many episodes does Pastor Biseko Kimasa's podcast have?The podcast currently has 6 episodes available.
April 07, 2024Nguzo 10 ili Ukristo uibadilishe Jamii Part 1.Maombi ya mara kwa mara na kufunga ni Nguzo mhimu sana kwa Kanisa na wakristo ambayo itafungua anga,kuvunja nguvu za matambiko,ushirikina,Uganda na uchawi pamoja na kuteka maeneo yaliyotawaliwa na Shetani kwa muda mrefu na kuyaweka chini ya Kristo....more15minPlay
March 29, 2024Ukristo unaoweza kubadilisha jamiiShetani analeta upinzani wa kila namna kwa watu waliookoka na wanaotamani kubadilisha jamii kumuelekea Kristo. Huu ni wakati mbapo kila Mmoja aliyeokoka anatakiwa kutumika bila kuangalia mambo yake binafsi Bali ya wengine wengi wanaoteswa na Shetani....more16minPlay
February 04, 2024Ibada part 3. Episode 4 - Pastor Biseko Kimasa's podcastMaombi ni sehemu mhimu katika Ibada na hivyo kila anayempenda Mungu ni lazima afanye Ibada kwa uzito mkubwa sana....more15minPlay
January 13, 2024Ibada part 2, Episode 3 - Pastor Biseko Kimasa's podcastKila mtu duniani anapaswa kumsifu Mungu kwa bidii na adabu kwa sababu Mungu anaketi katikati ya Sifa....more16minPlay
January 13, 2024Ibada part 1. Episode 3 - Biseko Kimasa's podcastIbada ni kitu mhimu sana katika maisha yote ya mwanadamu, tunapofanya Ibada tunatakiwa kuondoa mambo yote ambayo yanaweza kuharibu tusijifunze au yanayozuia Mungu kufanya matengenezo ya mioyo yeti na nafsi zetu. Barikiwa. Pastor Biseko Kimasa...more16minPlay
December 31, 2023Ukristo, Episode 1 - Biseko Kimasa's podcastNini maana halisi ya Ukristo?Mahusiano ya Yesu Kristo na mwanadamu ni lazima yajengwe katika Ibada nzuri kwa Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Katika episode hii nitakueleza kuhusu Ukristo tu na episode ya 2 nitakueleza kuhusu Ibada. Barikiwa....more16minPlay
FAQs about Pastor Biseko Kimasa's podcast:How many episodes does Pastor Biseko Kimasa's podcast have?The podcast currently has 6 episodes available.