Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Podcast ya dakika 60 ipo based on twitter ambapo inafanyikainterview kwa njia ya simu ya mkononi ambapo yanaulizwa maswali tofauti tofauti kwa mmoja wa watu ambae atabahatika kupigiwa simu siku ... more
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.
October 21, 2022S04EP02 with Lucas Malembo 🚜Kila mtu ana story yake kwenye maisha na haijalishi ni wakati mgumu kiasi gani unapitia kwenye maisha yako tambua kila mtu anapitia magumu yake. Lucas Malembo ni mwanzilishi wa "Malembo Farm" inayojishughulisha na maswala yote ya kilimo, Malembo ana amini kua kilimo kinaweza kutengeneza ajira kwa vijana wengi na vile vile kuikuza nchi yetu ki uchumi. Wengi tumemzoea Lucas Malembo akiongelea kilimo mara kwa mara ila kwenye episode hii amegusia mambo aliyopitia kwenye maisha yake kupelekea kuzaliwa kwa "Malembo Farm". Ni matumaini yangu utafurahia mahojiano haya na kujifunza mambo mengi...more1h 25minPlay
October 14, 2022S04EP01 with BIG 👶🏽Kwenye maisha ya kila siku watu napitia mambo mengi ikiwemo kutafuta hela, stress za familia, stress za kazi n.k na mitandao inabidi iwe sehemu ya mtu kupata furaha hata kama siku yake ilikua mbaya kiasi gani. Kupitia mtandao wa twitter kuna kijana anaitwa "Big0047" yeye huwa anatengeneza memes kwa njia ya picha na watu wengi wamekua wakifurahishwa na ubunifu wake. Tumeongea kuhusu mtandao uliompa yeye umaarafu na story nyingine kibao kumuhusu yeye. Natumaini utaenjoy mahojiano haya....more59minPlay
May 21, 2021S03EP08 with Joyce Kiango📝Mwalimu ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu na walimu wamebadilisha maisha ya watu wengi sana. Leo nimefanya mahojiano na mwalimu wa watoto wadogo ambae amejichukulia umaarufu mkubwa sana kwenye mitandao ya kijamii, tumezungumzia mambo mengi ikiwemo pia safari yake ya maisha mpaka kufikia hapo alipofikia sasa ivi na jinsi gani kumpoteza mama ake kulimfanya apitie kipindi kigumu sana kwenye maisha yake. Ni matumaini yangu utafurahia mahojiano haya na pia kuna kitu utajifunza....more58minPlay
February 15, 2021S03EP04 with Mr & Mrs Mrusi 💍Episode hii nimeifanya special kwa ajili ya valentine kilichonifanya niwachague Mr & Mrs Mrusi ni kwa sababu wapenzi hawa twitter ndo iliwakutanisha kwa mara ya kwanza na baada ya hapo kufikia maamuzi ya kuoana, kwenye Episode hii tumezungumza mambo mengi kuhusu mahusiano na ndoa vile vile tumegusia maisha ya wawili hawa ndani ya ndoa. #PHONECALLBYFOTTY...more49minPlay
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.