Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Podcast ya dakika 60 ipo based on twitter ambapo inafanyikainterview kwa njia ya simu ya mkononi ambapo yanaulizwa maswali tofauti tofauti kwa mmoja wa watu ambae atabahatika kupigiwa simu siku ... more
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.
April 03, 2020S01E01 with Miriam MkanakaMiriam Mkanaka anajulikana twitter kama @miriammkanaka ni mwandishi,Motivational speaker na moja ya wakina dada wenye ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa twitter ana followers zaidi ya elfu 90 na wanazidi kadri siku zinavozidi kwenda. Kwenye Episode hii tumezungumzia jinsi gani Account yake ya Twitter imekua ikimuingizia pesa kwa matangazo anayokua akiyatweet na pia mambo kadhaa kuhusu mtandao wa twitter. Na uhakika utafurahia Mahojiano haya...ASANTE...more13minPlay
February 25, 2020CHANZO CHA UBINAFSIKatika hii episode nipo na mgeni REWARD MINJA ambae ni Motivational Speaker na Mjasiriamali tukizungumzia nini chanzo cha ubinafsi....more1minPlay
February 11, 2020S01EP1 "CHANZO CHA KUKWAMA KWA MAUZO YA ALBUM ZA MZIKI TANZANIA"Katika hii episode tunaongelea kwa nini tanzania ni ngumu sana kwa wasanii wa mziki kuuza album....more9minPlay
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.