Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Podcast ya dakika 60 ipo based on twitter ambapo inafanyikainterview kwa njia ya simu ya mkononi ambapo yanaulizwa maswali tofauti tofauti kwa mmoja wa watu ambae atabahatika kupigiwa simu siku ... more
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.
July 17, 2020S02EP02 with Geoffrey LeaGeoffrey Lea ndio amehusika kwenye Episode hii ya 2 msimu wa 2 ni mchambuzi na mtangazaji wa michezo kutokea Efm, Kwenye Episode hii tumeongea mambo mengi kuhusu mpira wa miguu lakini vile vile mpira wa kikapu sababu yeye ni mpenzi wa kikapu pia vilevile ukiachana na hayo tuliongea kwa jinsi gani Mama ake (M/Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi) amekua na mchango mkubwa sana katika safari yake hii. Kama wewe ni kijana ambae unajihusisha na jambo lolote lile katika Episode hii utajifunza kutokukata tamaa na kufanikisha lengo ulilokua nalo. #PHONECALLBYFOTTY...more28minPlay
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.