Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Podcast ya dakika 60 ipo based on twitter ambapo inafanyikainterview kwa njia ya simu ya mkononi ambapo yanaulizwa maswali tofauti tofauti kwa mmoja wa watu ambae atabahatika kupigiwa simu siku ... more
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.
May 08, 2020S01E06 with Daktari wa ManesiMcnika wa Lamar mimi napenda kumuita "SOCIAL MEDIA GURU" huyu jamaa nimeanza kuzijua kazi zake kabla ya kupata nafasi ya kumjua yeye. Anandaa memes ambazo kama hujawai kuweka kwenye status yako basi umeona kwenye status ya ndgu au rafiki ako, Tumeongea kuhusu uandaaji wake wa memes na pia kuhusu dili za matangazo mitandaoni sababu ana followers zaidi ya laki 2 instagram na Zaidi ya laki 1 Twitter....more23minPlay
May 01, 2020S01E05 with Princess FeonaPrincess Feona ni Model,Fashionista na muanzilishi wa THE NEW FACE SERVICES Ni moja ya watu ambae alizua gumzo sana Twitter Tanzania baada ya kuweka picha ambazo zilileata sintofahamu na maswali mengi kwa watu, tumelizungumzia hili lakini pia kuhusu mambo ya Modeling na changamoto anazozipata na Je Corona imeathiri kiasi gani shughuli zake. Kwenye akaunti yake ya Twitter ana Followers wasiopungua Elfu 35...more26minPlay
April 24, 2020S01E04 with MudimabirianiMpishi maarufu wa biriani anaejulikana kama Mudi Mabiriani ndo nilipata nafasi ya kufanya nae interview na kupiga nae stori hususani kuhusu biashara yake ya chakula aina ya Biriani. Kama ww ni mfanyabiashara au ni kijana tu mpambanaji basi amini una mengi ya kujifunza kupitia hii Episode. Tumeongelea juu ya Marketing anayoifanya ya biashara yake na pia kwa nini aliamua kujiajiri hali ya kuwa alikua ameajiriwa. Kwenye mtandao wa twitter ana Followers wasiopungua Elfu 20...more24minPlay
April 17, 2020S01E03 with DR.ZackKatika Episode hii nipo na mtaalam wa kupigia promo Samaki aina ya Dagaa na pia ni mtu wa kuweka wazi Maparody kwenye mtandao wa twitter yani watu wanaotumia Identity ambazo sio zao ili kuweza kujipatia Follows, Nimepiga nae story kibao bila kuhasau scandal yake ya kuzusha msiba na kula pesa za rambirambi. Kwenye mtandao wa twitter ana followers wasiopungua Elfu 60....more17minPlay
April 10, 2020S01E02 with MpambaziInterview na mtumiaji wa twitter anaejulikana kwa jina la Mpambazi moja ya vijana ambae ndo alikua kama Special Apearance (T.O.T bonanza 2020) tanzania on Twitter na watu wengi walikua wanatamani kumuona baada ya kuwa anainteract na mambo aliyokua akiyafanya kumpa umaarufu twitter, Ana followers wasiopungua Elfu 10 na account yake inazidi kukua kadiri siku zinavokwenda tumeongea kuhusu safari yake ya Dubai ambayo ilileta Gumzo kubwa ambapo aliendakutembea na pia mambo mengi juu ya mapokezi aliyoyapata twitter....more18minPlay
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.