Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Podcast ya dakika 60 ipo based on twitter ambapo inafanyikainterview kwa njia ya simu ya mkononi ambapo yanaulizwa maswali tofauti tofauti kwa mmoja wa watu ambae atabahatika kupigiwa simu siku ... more
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.
July 01, 2020PHONECALL SEASON 2 PROMOBaada ya mapokezi mazuri ya msimu wa kwanza uliokua na takribani Episodes 10 ambapo wahusika walikua...@MiriamMkanaka @mpambazi @abdulazackabdul @Mudimabiriani @princessfeona @mcnikawalamar @lusakowakwanza @georgeAmbangile @shamiraMshangama @fredKavishe. Tulichukua break ya week mbili na Tarehe 3/7/2020 tunarudi tena kwa Ajili ya msimu wa 2 Asante kwa Support yako kuanzia Episode ya kwanza msimu wa 1 mpaka sasa tunaelekea Msimu wa 2....more2minPlay
June 05, 2020S01EP10 with Fred KavisheFred Kavishe mmoja wa waanzilishi wa TOT BONANZA (Tanzania On Twitter) bonanza kubwa linalowakutanisha watumiaji wa twitter sehemu moja ili kuweza kujuana zaidi na kuenjoy, Kwenye Episode hii tumeongelea mambo mengi sana kuhusu Bonanza hili kuanzishwa kwake,Changamoto na mambo mengi sana. Vilevile tulipiga story na Fred juu ya safari yake ya Kupunguza uzito kutoka kilo 105 mpka kilo 65 ambayo ndo anamaintain sasa ivi. #PHONECALLBYFOTTY...more27minPlay
May 29, 2020S01EP09 with Shamira MshangamaShamira Mshangama ni Mkurugenzi mtendaji na Muanzilishi wa Tasisi ya (Mwanamke na Uongozi) ni tasisi isiyokua ya kiserikali (NGO), yenye kazi ya kuhamasisha wasichana wenye Umri kuanzia miaka 12 kushiriki nafasi mbali mbali za uamuzi na kugombea Uongozi. Kwenye Episode hii tumeongea mambo mengi sana kuhusu Wanawake na changamoto gani wanazipata kwenye jamii yao. Vile vile nilipata nafasi ya kupiga story na Shamira kuhusu maisha yake binafsi....more29minPlay
May 22, 2020S01EP08 with George AmbangileGeorge Ambangile ni mchambuzi wa mpira na mtangazaji wa michezo wa WASAFI TV kipindi cha (Sports Arena & Sports Court) kwenye episode hii tumeongelea kuhusu safari yake ya uchambuzi na changamoto gani alizopitia mpaka kufika hapo alipofikia leo ukiachana na hayo tumeongea juu ya support aliyopata kutoka kwa familia yake wakati anapambania ndoto yake hii. Ana followers wasiopungua Elfu 14 kwenye mtandao wa twitter....more24minPlay
May 16, 2020S01E07 with Lusako Wa KwanzaLusako Wa Kwanza ni Ambassador wa TZnaVijana ambapo ni taasisi ambayo DIRA yao ni "Kuwa na Vijana wenye uwezo wa kujisimamia na kukabiliana na changamoto mbalimbali" Tumeongea mambo mengi sana kwenye Episode hii kuhusu scandal zake za kutuma Ujumbe kwenye DM za wakina dada na pia tumeongelea maisha ya kijana wa kitanzania kwenye mambo ya Mahusiano. Ana followers wasiopungua Elfu 80 kwenye mtandao wa Twitter....more26minPlay
FAQs about PHONECALL PODCAST:How many episodes does PHONECALL PODCAST have?The podcast currently has 46 episodes available.