
Sign up to save your podcasts
Or


Wakazi wa Jimbo la NSW hasa mji wa Syndey wameendelea kufungiwa ndani kwa kile kilichoelezewa na wananchi hao kuwa ni sheria ngumu ndefu kutokea nchini humu.
SBS ilizungumza na mmoja wa wafanyabiashara Bw Hamisi Babu Kumbuka ambaye alidodosa kuhusiana na kufungiwa huko kunavyoathiri wafanyabiashara.
Gonga hapa kusikiliza zaidi.
Maambukizi ya Coronavirus yana endelea kurekodiwa kote nchini Australia kila siku, na kulazimasha waliopatwa na virusi hivyo pamoja na watu wa karibu yao kujitenga kwa muda wa wiki mbili.
Jimbo la NSW larekodi visa 452 vya Uviko 19
Huku ikirekodi visa 24, Waziri Victoria ashutumu jamii ya Wayahudi kukiuka sheria za Uviko 19
Nalo Jimbo la ACT laonywa kuongezeka maambukizi baada ya visa 17 kutangazwa leo
Maafisa wa afya jimboni New South Wales wana wasiwasi kuhusu jamii zawatu wa asili katika eneo la magharibi ya jimbo hilo, ambako kesi mpya 21 zimetambuliwa.
Kila miaka mitano wakaaji wote pamoja na wageni nchini Australia, hushiriki katika zoezi la hesabu ya sensa ambayo ni lazima kwa kila mtu.
Jimbo la NSW larekodi kesi mpya 356 za maambukizi ya coronavirus ndani ya jamii, wakati chanjo ya Moderna yapewa idhini yakutumiwa nchini katika vita dhidi ya COVID-19.
From the publisher's feed

10 Listeners

9 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

3 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners