Easter is a festival and holiday commemorating the resurrection of Jesus from the dead, described in the New Testament as having occurred on the third day after his burial following his crucifixion by the Romans at Calvary. In Australia, Kenyan Community gathered together at Merrylands to celebrate this big day.
Our reporter Gode Migerano has more details from youth attended the function.
- Pasaka ni sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya ufufuo wa Yesu kutoka kwa wafu, kama ilivyoelezwa katika Agano Jipya, ilitokea siku ya tatu baada ya kumzika kwake baada ya kusulubiwa kwake na Warumi huko Kalvari. Hapa Australia, Jumuiya ya Wakenya walikusanyika pamoja huko Merrylands kusherehekea siku hii kubwa. Mwandishi wetu Gode Migerano ana maelezo zaidi kutoka kwa vijana waliohudhuria maadhimisho hayo.