Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.
Wiki hii ya Jumapili tarehe 11/2 ni Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima, ukurasa 88 katika kitabu cha sala.
Kwenye hiyo podi tunafundisha Yohana 15:1–17 na Wazo Kuu la siku: Upendo. Masomo mengine tutayafundisha katika podi ifuatayo.
Karibu.
This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com