Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.
Wiki hii ya Jumapili tarehe 25/2 ni Jumapili ya 2 wakati wa Kwaresima, ukurasa 90 katika kitabu cha sala.
Kwenye hiyo podi, sehemu ya kwanza, tunafundisha juu ya Mathayo 17:1–9, Yesu kugeuka sura na maana yake, na tunafundisha juu ya wazo kuu la siku ambalo ni Utakaso. Kwenye sehemu ya pili tutaendeleza mafundisho katika utakaso halafu na kusema juu ya masomo mengine, 1 Kor 6:1–11, Zaburi 119:33–40, na Mwanzo 7:17–24.
Karibu.
This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com