Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.
October 18, 2021Sepetuko Podcast; Siasa ni mchezo wa kibinadamu wala hamna Mungu mleImekuwa ikidaiwa kwamba William Ruto ana watu na Mungu. Raila Odinga huenda ndiye mgombeaji wa THE SYSTEM. Ukweli ni kwamba siasa hazina Mungu, siasa ni sarakasi za kibinadamu ambapo kila kitu hufanywa na watu wala hamna suala la kiroho mle....more6minPlay
October 14, 2021Sepetuko Podcast; Hofu ya kusalitiwa yachelewesha miungano ya siasa kwa ajili ya 2022Ukiukaji wa makubaliano ya Rainbow 2003 na mgongano ulioibuka kwenye Jubilee umewafanya wanasiasa wakuu msimu huu kuingiwa na woga wa kushirikiana na wenzao kwa sababu wanahofia ile roho ya kumalizana ambayo ni kama wimbo unaorejelewa kwenye siasa za Kenya....more6minPlay
October 13, 2021Sepetuko Podcast; Nani yu tayari kuiga njia aliyofuata Dkt John Pombe Magufuli?Viongozi wa One Kenya Alliance waashiria kutaka kujenga uadilifu kwenye siasa za nchi na kwenye utumishi wa umma. Kwenye kampeni zao Makueni wamezungumzia uaminifu. Je watafanikiwa katika nchi inayoathirika kwa utumbili usungura na ufisi?...more6minPlay
October 12, 2021Sepetuko Podcast; Ondoa utumbili kwanza, jenga uadilifu nchini KenyaNi msimu wa wanasiasa wakuu kutangaza ajenda zao kwa taifa ili kuwavutia wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2022. Lakini ni vigumu ahadi hizo kutekelezwa kwa sababu ya ukosefu wa uadilifu kwenye daraja mbalimbali za kisiasa na kwenye utumishi wa umma....more6minPlay
October 08, 2021Sepetuko Podcast; Hofu yachochea mikutano ya Mt Kenya Foundation.Vikao vinavyofanywa na Mt Kenya Foundation vinachochewa na hali ambapo msimu huu eneo litalazimika kumpigia kura mgombeaji urais asiye mwenyeji wa eneo la Mt Kenya. Historia imeonyesha kwamba eneo hilo halijawahi kumpigia kura mgombeaji urais asiye mwenyeji wa eneo....more6minPlay
October 07, 2021Sepetuko Podcast; Ufichuzi wa PandoraRais Kenyatta achukua hatua ya haraka kuzima makisio kufuatia 'ufichuzi wa Pandora'. Lakini hatua ya rais iliacha maswali badala ya majibu. Wakenya sasa wasubiri kuona iwapo kutakuwa na majibu kwenye taarifa yake akisharejea nchini kutoka Amerika...more6minPlay
October 05, 2021Sepetuko Podcast; IEBC yagharamika zaidi kwa sababu ya ukosefu wa uaminifu nchini.IEBC imekuwa ikilalamikia uchache wa pesa za kufadhili shughuli zake ikiwemo usajili wa wapiga kura wapya kwa sababu Kenya inaathirika kwa watu kukosa kuaminiana. Kukiwa na mwenendo wa kuaminiana, IEBC haitahitaji teknolojia ya gharama za juu kuendesha shughuli zake....more6minPlay
October 01, 2021Sepetuko Podcast;Kizungumkuti cha Mt Kenya kumpigia kura mtu asiye asili wa eneoHistoria ya uchaguzi wa urais nchini Kenya inaonyesha kwamba Mt Kenya haijawahi kumpigia kura mwanasiasa asiye asili wa eneo hilo tangu 1963. Iwapo Raila Odinga au William Ruto watapata kura za urais kwenye eneo hilo, basi itakuwa mara ya kwanza katika historia ya uchaguzi nchini....more6minPlay
October 01, 2021Sepetuko Podcast;Kizungumkuti cha Mt Kenya kumpigia kura mtu asiye asili wa eneoHistoria ya uchaguzi wa urais nchini Kenya inaonyesha kwamba Mt Kenya haijawahi kumpigia kura mwanasiasa asiye asili wa eneo hilo tangu 1963. Iwapo Raila Odinga au William Ruto watapata kura za urais kwenye eneo hilo, basi itakuwa mara ya kwanza katika historia ya uchaguzi nchini....more6minPlay
September 29, 2021Sepetuko Podcast; Athari za Uchina ni ajenda muhimu 2022Mwanasiasa atakayeshinda urais 2022 atakuwa na jukumu la kukomesha uingizaji vifaa na bidhaa za kutoka Uchina nchini Kenya ambazo zinaweza kutengenezwa humu nchini. Kenya inunue Uchina kile haiwezi kukiunda....more6minPlay
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.