Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.
September 28, 2021Sepetuko Podcast; Ukienda kwa wakwe kupeleka posa, andamana na vijana wa sura nzuri!BABA atafuta kura za Mt Kenya lakini aandamana na vijana wasiojua kuzungumza, Je wazee wa jamii watakubali kumwoza binti aitwaye ‘kura za Mt Kenya?’ William Ruto akielekea kule huandamana na wale wanaojua kuzungumza....more6minPlay
September 27, 2021Sepetuko Podcast; Raila abadilisha mbinu za kutafuta kuraAwali shujaa wa mikutano ya hadhara, mwanasiasa wa mvuto mbele ya umati alikuwa BABA. Siku hizi shujaa wa umati na kampeni za mikutano anaibuka kuwa Dkt William Ruto. Je mbinu hizi zitamfaa nani zimlemee nani?...more6minPlay
September 23, 2021Sepetuko Podcast; Ughali wa mafuta; Bunge latoa kauli za ndumakuwiliMawaziri na wabunge wana uwezo wa kurekebisha bei ya mafuta; wabunge kulia machozi ya kwikwi sasa ni kuwachezea wakenya mchezo wa shere- ni sherehe za tumbili!...more6minPlay
September 21, 2021Sepetuko Podcast; Kejeli za wanasiasa wa Mt KenyaEneo la Mt Kenya linachangia 23% ya idadi nzima ya watu nchini Kenya, kudai 40% ya nyadhifa serikalini ni kuwafanyia wakenya stihizai na kejeli. Yafaa wanasiasa hao wafanye utafiti waelewe ukweli wa mambo!...more6minPlay
September 20, 2021Sepetuko Podcast; Kuelimika ni kutohusika ufisadi na wiziKuhusika ufisadi ni kutoelimika. Elimu ya vyuoni yafaa ifunze Filosofia. Filosofia hufunza maadili; nidhamu, tabia na mienendo. Anayedai kuwa na elimu ya chuo kikuu lakini anahusika ufisadi hajaelimika!...more6minPlay
September 18, 2021Sepetuko Podcast; Sakata ya Rio-Utumbili unaoathiri ushujaa michezoniAdhabu yaja baada ya miaka mitano ya kutokea ufisadi uliovuruga ushujaa wa wanamichezo wa Kenya Rio De Janeiro. Sakata nyingine zinazovuruga maisha ya wakenya zasubiri kusuluhishwa, kuu zaidi ikiwa NYS!...more6minPlay
September 16, 2021Sepetuko Podcast; Ughali wa mafuta-Serikali isiyomjali raiaMafuta yakiwa ghali, gharama ya maisha hupanda maana mafuta ndio kawi ya kuendesha maisha. Serikali inafahamu hilo lakini inakosa roho ya kulegeza gharama hizo kumpunguzia mkenya mzigo....more6minPlay
September 15, 2021Sepetuko Podcast; Ahadi za Raila Odinga kwa WamaasaiMkataba wa Anglo-Maasai treaty -1904, uliifanya jamii ya Maasai kuwa iliyoathirika zaidi kwa ukoloni kuliko jamii nyingine za Kenya. Kwa hivyo ahadi za wanasiasa zisiwe za kimatamshi tu. Ziwe ahadi za kurekebisha athari za ukoloni....more6minPlay
September 14, 2021Sepetuko Podcast; Kuwarekebisha viongozi ni jukumu la kanisaNathan Mtume alifika mbele ya Daudi Mfalme na kumwambia ukweli kwamba alikuwa amefanya makosa. Akasema pia kwamba Mungu atamwadhibu! Kuwaambia viongozi ukweli ni jukumu la viongozi wa dini....more6minPlay
September 13, 2021Sepetuko Podcast; Mkasa wa Laikipia una mizizi kwenye siasaIdara za usalama zafaa kuangalia kwa umakini chanzo cha mavamizi ya Laikipia; kichocheo ni ushindani wa 2022....more6minPlay
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.