Baada ya kusitishwa kwa takribani miaka 19, hatimaye Mashindano ya Dunia ya Safari Rally, WRC yamerejea nchini Kenya. Ni mashindao yaliyovutia ajabu, kuonewa fahari na kuifanya Kenya kusifika kote duniani. Basi, juhudi na zifanywe ili mashindano haya yasifikie mwisho tena.