Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.
May 19, 2021Sepetuko Podcast; Jaji Koome ni chaguo la wakubwa?Mchakato wa kumteua Jaji Martha Koome umechukua muda mfupi sana kulinganishwa na wakati wa kuwaajiri majaji wa awali kwa ajili ya wadhifa wa Jaji mkuu. Kunani? Wakubwa wana nia gani?...more6minPlay
May 16, 2021SEPETUKO PODCAST; BBI -Majaji Walisema Ukweli; rufaa Haitapita!Kwa vile Rais Kenyatta hajawa katika uhusiano mzuri na mahakama, rufaa ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu BBI haitapita; Kenyatta amekuwa akipuuza maagizo ya mahakama. Adha, BBI ingekuwa mzigo kwa Mkenya; majaji walioiangusha waliongozwa na busara....more6minPlay
May 16, 2021Tusiorodheshe shule au wanafunzi katika KCPE/ KCSEKuorodhesha wanafunzi au shule kwa kigezo cha matokeo katika mitihani ya kitaifa hakufai. Kutukuza mitihani pia hakufai; huku ni kuwakatisha tamaa wasiofanya vyema katika mitihani. Ni vyema kukuza vipaji badala ya ushindani; elimu ni maarifa, si ushindani....more6minPlay
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.