Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.
June 12, 2024Heko Rais Ruto Kwa Kushughulikia Malalamishi ya KenyattaSuala la mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta halistahili jopo, ni suala ambalo sheria za nchi zinatosha katika kulitatua. Kenyatta anauliza kipi kilifanyika kwa mgao wake wa bajeti kwa miaka miwili, kwa mfano, haihitaji jopo kujibu swali hilo....more4minPlay
June 11, 2024Hujuma kwa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Ni Aibu kwa Taifa.Hujuma anayopitishiwa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na ofisi yake ni aibu kubwa kwa taifa hili. Rais William Ruto anamkosea heshima Kenyatta na Wakenya wote kijumla kwa kupuuza maslahi ya Kiongozi wa nchi ambaye aliihudumia nchi hii kwa miaka kumi. Ikiwa hujuma hii inatokana na uhasama wa kisiasa wa uchaguzi mkuu uliopita, basi shame on this Government....more5minPlay
June 10, 2024Sharti rais Ruto na Gachagua wakomeshe ukabilaUkabila bado ni sumu hatari inayokumba Kenya na Wakenya. Wacha Rais na Naibu wake waoneshe mfano bora katika kutokomeza jinamizi hili na sio kuanzisha siasa za kimaeneo ambazo kwa kiasi kikubwa zinatishia kuigawanya nchi....more5minPlay
June 04, 2024Uongozi wa Wanawake: Kutimiza Ndoto za Uongozi wa Kike KenyaKuchaguliwa kwa mwanamke kuwa Rais wa Mexico ni dhihirisho tosha la jinsi mtazamo wa watu unaweza kubadilika na wakaukumbatia uongozi wa wanawake. Naamini ipo siku Kenya itakuja kutimizwa ndoto hii ya wanawake wengi kuchaguliwa katika nyadhfa za uongozi. Ipo siku....more5minPlay
June 03, 2024KIONGOZI WA KITAIFA AU MSIMAMIZI WA ENEO?Juhudi zinazoendelezwa na Naibu Rais Rigathi Gachagua kusukuma ajenda za eneo la Mlima Kenya zinahujumu azma ya tiketi ya Urais kuwa nembo ya umoja wa nchi nzima na sio eneo moja. Naibu Rais anafaa kuhudumia nchi nzima na sio kujikita tu katika eneo anakotoka....more5minPlay
May 31, 2024Ruto Alifadhiliwa na Nani Kuenda Marekani?Madai ya Rais William Ruto kuwa sehemu ya ziara yake kuenda nchini Marekani ilifadhiliwa na marafiki zake ni kinyume na Katiba ya Nchi. Waliomfadhili Rais ni kina nani na walifanya hivyo kwa nia gani?...more5minPlay
May 30, 2024Serikali Ilenge Kupanua Idadi Ya Walipa UshuruKuendelea kwa serikali kuongeza ushuru wanaotozwa wafanyabiashara kunatishia kuwatorosha waekezaji hadi mataifa mengine. Serikali ilenge kupanua idadi ya walipaushuru, sio kuwatoza walipaushuru waliopo ushuru zaidi ya uwezo wao....more5minPlay
May 29, 2024Serikali Izingatie Maoni ya Wananchi Kuhusu Mswada wa Fedha wa 2024Vikao vinavyoendelea vya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Mswada wa Fedha wa mwaka wa 2024 visiwe tu kwa nia ya kujifanya kuheshimu Katiba. Wacha maoni ya Wakenya yatiliwe maanani na kuheshimiwa....more5minPlay
May 28, 2024Athari za Kutuma Maafisa wa Polisi HaitiHatua ya kuwatuma maafisa wa Polisi Haiti ni uamuzi usiokuwa wa hekima. Ni uamuzi ambao hauwezi kuelezwa kwa njia nyingine yoyote ile, isipokuwa kuonesha ubaraka kwa taifa la Marekani na washirika wake. Na hilo litakuja na athari zake mbovu kwa nchi....more5minPlay
May 27, 2024Ruto Aambia Dunia KQ ni Ghali Kuliko Ndege BinafsiRais William Ruto amejitetea kuhusiana na hatua yake kutumia ndege ya kibinafsi kusafiri hadi nchini Marekani, akidai kuwa kufanya hivyo kulikuwa kwa gharama ya chini kuliko kutumia ndege za Shirika la Ndege la Kenya Airways. Kujitetea huku kuionesha serikali hii kuwa isiyojali kuhusu utunzaji wa Mali ya umma na pia maafisa wakuu wa serikali hawana Imani na huduma zinazotolewa katika mashirika ya serikali kama KQ. Inasikitisha mno!...more4minPlay
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.