Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.
October 14, 2022Namwamba; kuna mwamba kuboresha spoti | Sepetuko PodcastKuna changamoto nyingi katika sekta ya michezo nchini Kenya. Waziri wa Michezo, Ababu Namwamba ana kibarua na mwamba mkubwa kurejesha Kenya katika hadhi nzuri kispoti....more4minPlay
October 14, 2022Baa la njaa; tupande mimea aina-aina | Sepetuko PodcastBaa la njaa limekuwa likizua kero kwa miaka mingi nchini Kenya. Ipo haja ya kutegemea mimea mbalimbali ya chakula - si mahindi pekee....more4minPlay
September 15, 2022Mateso ya Wakenya Saudia; serikali iingilie | SepetukoKwa miaka mingi, Wakenya wanaokwenda Uarabuni, hasa Saudi Arabia kwa kazi za nyumbani wamekuwa wakiteswa, kunyimwa chakula, dawa na wengine kuuliwa. Serikali ya Kenya inafaa kutafuta suluhu ya tatizo hili. Dalmus Sakali anasimulia katika Sepetuko....more3minPlay
September 15, 2022Uchaguzi wa amani Kenya | SepetukoWakenya walishiriki uchaguzi mkuu wa Agosti 9, mwaka wa 2022 kwa amani. Ni mfano wa kuigwa kote Afrika. Dalmus Sakali anakupa uhondo katika makala ya Sepetuko....more3minPlay
September 15, 2022Ruto alishinda, yasema Mahakama; kazi yamsubiri | SepetukoBaada ya Mahakama ya Upeo kutupilia mbali kesi za kupinga ushindi wa William Ruto, sasa anacho kibarua cha kuiongoza Kenya, kuwaunganisha wote na kutekeleza ahadi alizotoa. Dalmus Sakali anasimulia....more4minPlay
February 13, 2022Sepetuko Podcast; Kwa kutegemea kura za Mt Kenya Ruto ateleza!Baada ya rais Kenyatta kutangaza mwanzo wa siasa kali, joto litapanda huku mlengwa akiwa mwalimu William Ruto PhD. Itaibuka karibuni kwamba kosa kuu ambalo Ruto amelifanya ni kutegemea kura za eneo la Mt Kenya ambalo halijawahi kumpigia kura mwanasiasa asiyekuwa mwenyeji!...more10minPlay
January 28, 2022Sepetuko Podcast; Mbona hamkumtaja BABA kuwa msaliti, mbona akawa Mudavadi?Tangazo la Mudavadi Jan 23 kushirikiana na mwalimu Ruto (PhD) limechukuliwa vibaya kuliko tangazo la Raila Machi 9 2018 kushirikiana na rais Kenyatta- ajabu ni kwamba wote wamewasaliti wenzao...more9minPlay
December 17, 2021Sepetuko Podcast; Uanasiasa wa mwanasiasa Dkt MatiangiKatiba ya sasa ilipoandikwa ilifikirika kwamba mawaziri wakiteuliwa kutoka miongoni mwa wataalamu, watu wasio wanasiasa, huduma za baraza la mawaziri hazitaathirika kwa siasa. Lakini namna ambavyo Dkt Fred Matiangi amehusika siasa yaelekea njia hiyo sio suluhu ya kuondoa siasa kwenye huduma za mawaziri....more6minPlay
December 13, 2021Sepetuko Podcast; Ukweli wa jina BABA ni safari ndefu ajabu!Mwaka 1988 kama mkenya angetamka jina Raila katika mazingira rasmi au ya umma, angejipata pabaya mbele ya vyombo vya serikali. Leo hii jamaa wa jina hilo (Raila) anaitwa BABA! Ni ishara ya Kenya kubadilika....more6minPlay
December 09, 2021Sepetuko Podcast; Raila bado kupanda mlima- angali na kazi nzito mbele yake!Hata baada ya Mt Kenya Foundation kutangaza kumuunga mkono Raila Odinga, historia ya uhusiano inaathirika kwa propaganda dhalimu za miaka mingi zilizoliharibu jina la Odinga miongoni mwa watu wa Mt Kenya....more6minPlay
FAQs about Sepetuko:How many episodes does Sepetuko have?The podcast currently has 153 episodes available.