Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Inahusu masuala ya ujasiriamali, biashara ndogo ndogo, ushauri kuhusu uwekezaji na shughuli nyinginezo za kiuchumi.... more
FAQs about Uchumi na Biashara:How many episodes does Uchumi na Biashara have?The podcast currently has 60 episodes available.
June 05, 2021UCHUMI NA BIASHARA PODCAST: Hasara tele katika sekta ya matatu, kipindi cha Korona - Simon KimutaiMwenyekiti wa Muungano na Wamiliki wa Matatu Nchini, Simon Kimutai anasema sekta ya matatu imeathirika pakubwa kutokana na janga la korona. Aidha, ameiomba serikali kupunguza matozo ya kodi ili kuikwamua sekta hiyo kiuchumi. Kimutai amekariri kwamba Wakenya wanaotegemea uchukuzi wa umma wanakodolea macho janga kubwa zaidi kwani huenda sekta hiyo ikasambaratika katika siku zijazo. Amezungumza na Esther Kirong katika makala haya....more15minPlay
May 26, 2021UCHUMI NA BIASHARA PODCAST: Biashara ya mahindi - changamoto na faida zakeBiashara ya mahindi mwaka huu ni ngumu kulinganishwa na miaka iliyopita kutokana na bei duni. Aidha, Bodi ya Nafaka na Mazao, NCPB inafanya biashara na mawakala wanaowanyanyasa wakulima. Martin Ndiema amezungumza na Joseph Lamai, mkulima wa mahindi na mkazi wa Kaunti ya Trans Nzoia kuhusu suala hili....more10minPlay
May 16, 2021UCHUMI NA BIASHARA PODCAST; Uuzaji wa Mitungi ya GesiMwanahabari wetu, Willie Khaemba anashiriki gumzo na mfanyabiashara wa mitungi ya gesi katika Kaunti ya Bungoma, Benson Ojiambo. Anazungumzia faida, changamoto na namna ya kuzikabili ili kufaulu katika biashara hii....more16minPlay
April 30, 2021BIASHARA; Benki ya Equity yawafaa wanafunzi wakati wa koronaBenki ya Equity kupitia Mradi wa Wings to Fly, TVET Scholarships inawafadhili wanafunzi ila wakati huu wa korona, imelazimika kutumia mbinu mbadala kwa kuwapa wanafunzi pesa, taa ili kuhakikisha wanaendeleza masomo yao....more4minPlay
March 20, 2021BIASHARA YA SAMAKIKatika Ushauri wa Kibiashara na Fedha, mwanahabari wetu Moses K. Kiraese anazungumza na Julius Okello, mfanyabiashara wa samaki katika Soko la Kacheliba, Kaunti ya Pokot Magharibi....more13minPlay
March 04, 2021USHAURI WA KIFEDHA NA BIASHARATunazungumzia biashara ya baiskeli mjini Bungoma....more12minPlay
February 05, 2021Full Episode-Biashara ya BodabodaKatika makala haya; tunaangazia biashara ya bodaboda na changamoto zake....more8minPlay
FAQs about Uchumi na Biashara:How many episodes does Uchumi na Biashara have?The podcast currently has 60 episodes available.