Tunajadili ubashiri wako kwa mechi za leo za kuwania ubingwa wa kombe la Afrika, Afcon ambazo zitagarazazwa leo, ikiwa NI nusu fainali DRC ikipiga dhidi ya Ivory Coast nayo Nigeria ikichuana na Afrika Kusini.