
Sign up to save your podcasts
Or


Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili, changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya baraza la wazee wa kabila la wajaluo, na kwenye le parler francophone nitakuletea ratiba ya shughuli mbalimbali kwenye vituo vya Alliance Francaise, na tutahitimisha na burudani ya Muziki. Mimi ni Ali Bilali bienvenue, ama Karibu.
Kumbuka pia kutufollow @billybilali
Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali aliezuru Kisumu, amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa Ufaransa Joshua Kome kuzungumzia historia ya kutuo hicho na mikakati yake kukuza sanaa na utamaduni wa watu kutoka eneo hilo la Kenya.
Kumbuka kunifollow @billy bilali
Katika makala yetu Jumapili hii tunazungumzia kuhusu picha ya mji wa Kisumu tofauti na inavyozoeleka. Alliance Francaise ya Kisumu imeanda mradi unaoulezea mji wa Kisumu kwa aina tofauti. Kila linapotajwa jila la kisumu moja kwa moja unaona maandamano, vurugu, uvuvi, wakati jiji hilo ni mbali kabisa na hayo.
Makala haya yanazungumzia kuhusu muziki wa tamaduni ya Kiturkana ambao ni kiungo muhimu sana katika maisha ya jamii ya Waturkana, inayopatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya. Muziki wao hautumiwi tu kama burudani, bali ni njia ya kuhifadhi historia, kuwasiliana na jamii, na kuadhimisha matukio muhimu ya maisha.
Hapa kuna vipengele muhimu vinavyofafanua muziki wa kitamaduni wa Kiturkana:
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletza Historia ya watu wa kabila la Wahehe, kutoka chini Tanzania na kwenye Muziki nitakuletea msanii kutoka nchini Uganda Made Ice, Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.
Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atatueleza harakati za kumtambuwa mswahili wa Burundi
Na kwenye Muziki nitakuletea Mwanamuzi nguli wa miondoko ya Contry kutoka nchini Marekani Dolly Parton ambae amefariki dunia juma hili. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama karibu.
Nifuate kwenye mitandao ya kijamii @billybilali
Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya historia ya waswahili wa Burundi na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Lady Jay D. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.
Nifuatilie @billybilali
Karibu katika Makala haya yanayozungumzia historia ya waswahili wa Burundi. Mntangazaji wako Ali Bilali alikutana na mwanahistoria kutoka Buyenzi Mzee Anzuruni ambae anaeleza kwa kina hapa historia ya waswahili wa taifa hilo.
Nifuatilie kwenye mtandao wa kijamii @billy bilali
Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500 kupeleka ujumbe wa amani, na pia ustadi wa tafsiri ya lugha mbali mbali, katika mikutano ya kimataifa inayofanyika sehemu kadhaa duniani
From the publisher's feed
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners