Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

By RFI KiswahiliSociety & Culture
Download on the App Store

Changu Chako, Chako Changu episodes

  • Changu Chako Chako Changu Historia na tamaduni za wabajuni march 1 2026

    Karibu katika Makala haya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii nakuletea Historia na tamaduni mbalimbali za watu wa kabila la wabajuni, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Maud Elka kutoka Ufaransa mwenye asili ya Congo.  

    Watu wa Wabajuni  ni kabila la Wabantu wanaoishi hasa katika jiji la Mombasa nchini Kenya. Wengi walihama kutoka kusini mwa Somalia hadi Kenya kutokana na vita na ukoo wa Waoromo wa Orma, ambao waliwafukuza kutoka eneo lao la mababu. 

    Kundi la watu wa Bajuni hapo awali liliishi hasa Visiwa vya Bajuni katika Bahari ya Somalia. Wengi pia huishi Kenya kijadi, hasa Mombasa na miji mingine katika Mkoa wa Pwani wa nchi hiyo. Kumbuka pia kumfuatilia mtangazaji wako kwa kubonyeza hapa @billy bilali

    20 min
  • Baadhi ya watangazaji wa RFI Kiswahili watuma salamu za mwaka mpya 2026

    Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea pongezi za mwaka mpya kutoka kwa watangazaji wenzangu hapa RFI Kiswahili. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue, ama Karibu. 

    20 min
  • Kumbukumbu ya makala za mwaka 2025 sehemu ya pili desemba 21 2025

    Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani ya Muziki kutoka kwake. Mimi ni A LI Bilali bienvenue ama Karibu 

    21 min
  • Utamaduni wa kulinda urithi na Uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika Nov 16 2025

    Jumapili nyingine kabisa tunakutana katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni la parler francophone na Muziki 

     Leo nakuletea utamaduni wa kulinda urithi na uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika. 

    Kwenye Muziki tutahitimisha na burudani kutoka mwa msanii Aslay katika kibao chake alichoshirikiana na Nandy Mimi ni Ali Bilali bienvenue, ama Karibu. . 

    21 min
  • Changu chako kuhusu maswala ya ubunifu kwenye sanaa Novemba 30

    Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Maonyesho ya ushirikiano na Ufaransa na Kenya katika tasnia ya kitamaduni na ubunifu kupitia mpango wa Création Africa. 

     

    Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuzi Ibrah kutoka nchini Tanzania

    21 min

About Changu Chako, Chako Changu

From the publisher's feed

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

More shows like Changu Chako, Chako Changu

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners