
Sign up to save your podcasts
Or


Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.
Makala hii imeangazia kwa kina chimbuko la watu wa kabila la wanande, ambao kati yao wapo ambao wamejikita mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo maarufu kama wayira na pia wengine ambao wamejikita katika mji wa Kasese na maeneo mengine nchini Uganda na ambao wanafahamika kama Bakonzo, kufahamu zaidi sikiliza makala hii na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka.
Makala haya, mtangazaji wako ametembelea jijini Arusha Tanzania katika makumbusho ya Kimasai kuzungumzia mambo mbalimbali ya tamaduni za kimaasai hususan katika swala la Twahara.
Karibu katika makala ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya siku ya kimataifa ya ukalimani na tafsiri, na kwenye le parler francophone nitakujuwa kinachoendelea kwenye vituo vya Alliance Francaise za Ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mace Ice. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue ama Karibu.
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili changu chako chako changu Makala ambayo khukuletra historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, na eo nakuletea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri ambayo huamdihimishwa kila septemba 30 ya kila mwaka. Kwenye le parler francophone nitakujuwa yaliojiri kwenye kituo cha Alliance francaise, na kwenye Muziki nitakupa Burudani ya Muziki kutoka kwake Aslay. Mimi ni Ali Bilali Karibu ama Bienvenue,
Mtangazaji wako hapa anaangazia moja miongoni mwa mchezo wa kuigiza wa nfuli wa michezo ya jukwaani Jean Baptiste Pokelin maharufu Moliere alietoweka miaka 80 iliopita.
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki.
Leo nakuletea tamaduni na miiko kutoka makabila mbalimbali barani Afrika. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Otile Brown Kutoka chini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue ama Karibu.
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea hidstoria ya Demokrasia, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Marin MKidumu kutoka Uvira mashariki mwa DRC.
From the publisher's feed
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners