Jukwaa la Michezo

Jukwaa la Michezo

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jukwaa la Michezo episodes

  • Mechi za kufuzu Afcon U20, U17, Olimpiki, Klabu Bingwa Afrika na F1

    Mechi za kufuzu Afcon U20, U17 na Olimpiki ya 2028 zinaendelea, Raundi ya pili ya kufuzu mechi za klabu bingwa, Tanzania yabanduliwa kwenye mashindano ya Afcon mchezo wa futsal, CAF na FIFA zaongeza ruzuku kwa wanachama wake, Mchezo wa langalanga kurejea Afrika kuanzia mwaka 2030, Raga ya dunia daraja la pili kurejea Kenya, Kombe la dunia la wasichana chini ya miaka 17 lang’oa nanga nchini Morocco, uchambuzi wa matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

    24 min
  • Debi la Kariakoo Simba na Yanga, nani atashinda leo, Mkutano wa CAF wa Kimkakati

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na michuano ya kufuzu Afcon U23, U20 na U17, Olimpiki ya LA 2028, yaliyojadiliwa katika mkutano wa kimkakati wa CAF, debi la kariakoo leo usiku kati ya Yanga na Simba, Ligi kuu ya soka Kenya yarejea huku mwamuzi akivamiwa, Safari Rally yarejea katika kalenda ya WRC 2027, Rwanda ipo karibu kufikia makubaliano ya kuandaa mkondo wa F1 mwaka 2030, Messi astaafu soka la kimataifa huku Ronaldo akisamimishwa kwa muda. Verstappen ashinda kufuzu kwa mkondo wa Singapore GP

    24 min
  • CAF: Raundi ya pili kufuzu Afcon 2027, Ronaldo aondoka katika kambi ya Ureno

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa matukio na matokeo ya raundi ya pili kufuzu michuano ya Kombe la Mtaifa ya Afrika 2027, mechi za kufuzu Afcon U23 na U20, kocha wa Ghana afutwa kazi, Jnr Starlets ya Kenya wajiandaa kushiriki Kombe la Dunia la wasichana U17, ukumbi wa kwanza wa ndondi ya kina dada nchini Sudan Kusini, mkusanyiko wa spoti Afrika Mashariki, Ronaldo ajiondoa kwenye kambi ya Ureno, michuano ya tenisi China Open na Japan Open, City yawasilisha rufaa

    24 min
  • Raundi ya kwanza kufuzu AFCON 2027 imekamilika, Fainali za Netboli na Voliboli

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na matokeo na matukio ya raundi ya kwanza mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali za mashindano ya netboli na voliboli Afrika na Cecafa U20, kambi ya Harambee Stars yakumbwa na misukosuko, je kocha McCarthy ana imani na shirikisho la soka Kenya?, Ligi ya Kenya kurejea, Lupita Nyong'o awekeza klabuni Nairobi City Thunder, je Mbappe anaweza kushinda Ballon d'Or mwaka huu, Man City yapatikana na hatia ya fedha

    25 min
  • Riadha za 2029 zatua Nairobi, ziara ya Motsepe Afrika Mashariki

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nairobi kushinda haki za kuandaa riadha za dunia mwaka 2029, michuano ya voliboli Kombe la Mataif ya Afrika ya wanaume, golikipa wa Senegal Edouard Mendy anuia kustaafu soka la kimataifa, ziara ya Motsepe Kenya na Tanzania kukagua viwanja vya Afcon 2027, ni kwa nini ligi ya Kenya haijaanza, michuano ya Cecafa U20, kocha mpya wa Ufaransa Zinadine Zidane ampa unahodha Kylian Mbappe, uchambuzi wa vichapo vya Arsenal, Spurs na Chelsea.

    24 min
  • Awamu ya marudiano kufuzu klabu bingwa Afrika, Tuzo za Ballon d'Or 2026

    Raundi ya kwanza ya kufuzu klabu bingwa Afrika yatamatika, Inaki Williams astaafu soka la kimataifa, yaliyojadiliwa kwenye kongamano la tatu la Sportsbiz Afrika, moto wa Olympiki kuelekea Olimpiki ya Dakar wawashwa, FIFA yapuuza madai ya Morocco kuandaa Kombe la Dunia la 2030, waafrika waliotajwa kwenye orodha ya tuzo za Ballon d'Or, Ufaransa yajiondoa kumuunga mkono Infantino kuchaguliwa urais tena na fainali za US Open.

    24 min
  • Misri yashinda ubingwa wa Afrika voliboli, Tanzania na Uganda mabingwa Cecafa

    Tuliyokuandalia ni pamoja na Misri kushinda ubingwa wa Afrika wa voliboli wa kina dada, Quieroz arejea Ghana huku Pitso Motsimane akiteuliwa kocha wa Afrika Kusini, Ligi ya Mabingwa Afrika yang'oa nanga, Tanzania na Uganda zashinda taji za Cecafa michuano ya shule za upili CAF, droo ya Afcon U20 yatolewa, riadha za Diamond League, kocha wa PSG Luis Enrique atia saini mkataba mpya, Djokovic abanduliwa mapema michuano ya US Open.

    24 min
  • Michuano ya voliboli ya Afrika ya kina dada yaingia raundi ya mtoano

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nigeria kuapisha shirikisho la mpito kusimamia soka, Ethiopia yawasilisha ombi la kuandaa Afcon 2028, DRC yabanduliwa michuano ya Afrika ya Voliboli, mechi za kufuzu Kombe la Dunia la Basketboli yaingia raundi ya pili; wakenya Faith na Wanyonyi wang'ara riadha za Zurich Diamond League, Rayon Sport yajiandaa mechi za Kombe la Shirikisho, Kenya yaibuka bingwa mashindano ya ANOCA, Droo ya Ligi ya Mabingwa, tetesi za uhamisho, Norris asaini mkataba mpya McLaren

    24 min
  • Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, uwanja wa Talanta wafikia asilimia 95

    Leo tunaangazia ushindi wa Cameroon taji la Wafcon, Patrick Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, Wanyonyi ang'ara riadha za Diamond League, bondia wa mwafrika kusini auawa nchini Afrika Kusini, uwanja wa Talanta umefikia asilimia 95 kukamilika, michuano ya kufuzu klabu bingwa kwa kina dada ukanda wa Cecafa yaanza, ratiba ya Kombe la Dunia la wanawake 2027 yatolewa, Shakhtar kutumia uwanja wa Stamford Bridge katika michuano ya Klabu Bingwa, Ligi za Ulaya zarejea. 

    24 min
  • Malawi na Cameroon zatinga fainali michuano ya WAFCON 2026 nchini Morocco

    Tuliyoangazia leo ni pamoja na uchambuzi wa matokeo na matukio ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada inayofikia tamati wikendi hii, mechi za kufuzu kombe la dunia la basketboli chini ya miaka 18, Kenya yawasilisha nia ya kuandaa mashindano ya dunia ya riadha 2029. Je, Yanga itatetea ubingwa wa ligi kuu Tanzania baada ya kushinda ngao ya jamii?, PSG yashinda taji la UEFA Super Cup, tetesi za uhamisho, Swiatek ashinda taji lake la kwanza mwaka huu kwenye tenisi

    24 min

About Jukwaa la Michezo

From the publisher's feed

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano…

More shows like Jukwaa la Michezo

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners