
Sign up to save your podcasts
Or


Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo
Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ?
Skiza makala.
Oktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote.
Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.
Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.
Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu.Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu?
Nchini mwako hali ikoje na nini kifanyike kuthamini na kuboresha maslahi ya walimu?
Kila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.
From the publisher's feed
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners