
Sign up to save your podcasts
Or


Ukosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
Lumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.
Paul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.
Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.
Sanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.
Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha.
Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.
Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanzania anajivuia sana hii, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa utamsikia.
Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu headmaster ni msanii wa sanaa ya ucheshi.
From the publisher's feed
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla,…

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners