Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

By RFI KiswahiliSociety & Culture
Download on the App Store

Changu Chako, Chako Changu episodes

  • Historia ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari

    Tarehe 03 mei ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, na mwaka wa 2026 imetimia miaka 35 tangu siku hiyo kutangazwa na baraza la umoja wa mataifa, na katika utamaduni tumeendelea na utaratibu wa jamii ya watu wa kabila la wabembe huko DRC na taratibu za kuoa.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi

    21 min
  • Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati

    Makala hii imejikita huko mashariki ya kati ambapo tumeangazia kwa undani historia ya nchi ya Iran, na katika utamaduni kabila la wabembe kutoka Fizi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, na maeneo mengine ya nchi jirani, wakati katika kipengee cha muziki ni maadhimisho ya miaka kumi tangu alipotoweka mwanamuziki nguli, mfalme wa rumba almaarufu Papa Wemba huko Ivory Coast

    21 min
  • Changu chako: Utamaduni wa watu kutoka Embu nchini Kenya

    Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parle francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni wa watu kutoka huko Embu kwenye maswala ya chakula, mazazi na uvhumba. Tutamaliza na vibwagizo kadhaa vya Muziki, mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu

    Kumbuka pia kutufuatilia @billy bilali 

    20 min
  • Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa matumizi ya viungo kwenye chakula march 22 2026

    Ni jumapili nyingine tunakutana katika makala Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupelekea visiwani Zanzibar kuangazia utamtuni wa matumizi ya viungo kwenye chakula, kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu sherehe za siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa,  mimi ni Ali Bilali Bienvenue, ama Karibu. 

    kumbuka pia kutufollow kwenye mitandao ya kijamii @billy_bilali

    20 min
  • Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha

    Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupeleka huko Visiwani Zanzibar kuzungumzia utamaduni wa kufturisha ambapo JMarch 7 umati wa watu ulijitokeza kuhudhuria Iftar ilioandaliwa kwa mara ya kwanza kwenye ngazi ya Kitaifa. Tutahitimisha na Muziki kutoka visiwani Zanzibar. Ali Bilali ninakukaribisha karibu, ama bienvenue.

    Utamaduni wa kufturisha ni zoezi la kijamii na kidini katika Uislamu ambapo waumini wenye uwezo hutoa chakula na vinywaji kwa waliofunga (wengine) wakati wa kuvunja saumu (futari) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Inalenga kuimarisha umoja, kusaidia wenye uhitaji, kueneza upendo, na kupata thawabu kwa kushirikiana na wengine. 

    Utamaduni huu hufanyika kila mwaka visiwani Zanzibar, kwenye ngazi mbalimbali, kijamii, kitaasisi, lakini mwaka huu imeandaliwa Iftar ya Kitaifa, kwa mujibu wa ofisi ya mtakwimu mkuu wa serikali Zanzibar watu 27345 kati yao wanaume ni elfu 18 771 sawa na asilimia 68.6 wanawake 8.574 sawa na asilimia 31.4 walijitokeza kwa ajili ya kufaanikisha, chini ya mgeni rasmi mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ambae pia ni rais wa Zanzibar.  

                                                             

     

     

    21 min

About Changu Chako, Chako Changu

From the publisher's feed

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

More shows like Changu Chako, Chako Changu

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners