Afrika Ya Mashariki - Mchezo wa gonga kwenye fukwe za visiwani Zanzibar
Leo tunaangazia juu ya Mchezo wa Mpira wa Gonga huko Unguja, Zanzibar. Kwa mjibu wa wenyeji niliokuta wakicheza mpira wa Gonga pale Kizingo Beach, Unguja, wameeleza kuwa mpira wa Gonga una asili yake kwenye visiwa vya Brazil, Amerika ya Kusini.