Mwanaharakati aliyepinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, na pia kuwa Askofu Mkuu wa kanisa Anglikana, Desmond Tutu, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.Tutu alisifika kutetea haki za binadamu na maridhiano kwenye taifa lake.