Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Mafundisho mbalimbali ya Biblia yaliyobeba ujumbe kwamba USIOGOPE. Namna pekee ya kukua katika imani na kukua katika uhusiano wetu na Mungu ni kuweka woga mbali nasi. Tubaki majasiri tukipiga mbio kuu... more
FAQs about Biblia Inasema Usiogope:How many episodes does Biblia Inasema Usiogope have?The podcast currently has 57 episodes available.
February 08, 2021Kuabudu Bila HofuUsiabudu kwa hofu kama vile kwa wizi wizi. Mungu wetu amehakikisha kwamba tunakuwa salama ili tumuabudu bila hofu. Tena kila ukifanyacho kifanye kama kwa Bwana, ni ibada yako kwa Bwana. Usifanye kwa woga. Biblia inasema usiogope. ...more17minPlay
February 01, 2021Mungu Afurikiaye AduiMaadui zetu sisi tuaminio ni maadui za Bwana Mungu wetu. Na Mungu wetu ni Mungu afurikiaye adui zake kama mto ufurikao. Kwa hiyo hatuna haja ya kuogopa kwa sababu Mungu wetu anawafurikia adui zetu....more15minPlay
January 25, 2021Nena, UsiogopeZipo nyakati ambazo kitu kigumu sana kufanya huwa ni kusema ukweli, au kunena lile ambalo Bwana Mungu amekupa kunena. Jambo hili huweza kuwa na matokeo hatari kwako hivyo kukufanya uogope kunena kama siyo kusema uongo kabisa. Lakini Biblia inasema usiogope kunena lila likupasalo hata kama itatishia kugharimu uhai wako. Nena, usiogope. Biblia inasema usiogope....more15minPlay
January 18, 2021Msiogope Bali Furahini Katika BwanaTunapojitia nguvu katika Bwana kwa yale tunayopitia tunapaswa kufahamu kuwa maandiko yanasema Furaha ya Bwana ndiyo nguvu zetu. Tena imeandikwa Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini. Namna ya kuchota katika baraka za wokovu wetu ni kwa furaha. Usinunenue mpendwa wala kwenda katika huzuni kila wakati ukidhani huo ndiyo utakatifu. Usiogope bali furahi katika Bwana....more13minPlay
January 11, 2021Usiogope, Mtakase Kristo Bwana Moyoni MwakoBiblia inatuambia tusiende kama waendavyo wasioamini, wala tusiogope kama wao waogopavyo. Sisi tunapaswa kumtakasa Mungu wetu mioyoni mwetu. Usiogope yuko Bwana wa majeshi kukulinda....more14minPlay
January 04, 2021Kumngoja Bwana Huondoa HofuTumepewa Roho Mtakatifu adumuye ndani yetu, na siyo roho ya hofu. Kwa hiyo usiogope. Kama hofu inakusumbua jitahidi kumngoja Bwana. Uwe hodari, upige moyo konde na umngoje Bwana- utaona hofu inavyokimbia mbali nawe....more16minPlay
December 14, 2020Usiogope KuwekezaMoja ya madhara makubwa sana ya woga ni kutuzuia tusiwekeze tukiogopa kuingia hasara au kutojua yatakayotokea. Hii ni mbaya sana kwa sababu fursa huwa zimefungwa na muda kwa hiyo wakati unasitasita muda unakwenda na fursa hupotea. Kwa hiyo usiogope kuwekeza, tumia fursa zilizopo. Biblia inasema usiogope....more19minPlay
December 07, 2020Usiogope MaaduiUkiwa Mkristo uwe na uhakika lazima maadui waibuke. Na katika maisha huwezi kufanya mambo makubwa pasipo kusababisha watu wainuke dhidi yako kwa uadui. Lakini usiogope maadui, Biblia inasema usiogope....more20minPlay
December 03, 2020Usiogope DhikiHata wakati unapitia dhiki, taabu na udhia, bado imani yako isitindike ukadhani Mungu amekuacha. Usiogope maana Mungu wako bado yuko nawe....more18minPlay
November 23, 2020Usiogope SimbaKama Bwana Mungu alivyomuokoa mtumishi wake Daniel alipotupwa katika tundu la simba, ndivyo hivyo Bwana anaweza kukuokoa na wewe pia. Unapoangukia katika mikono ya waovu usiogope kwa sababu Mungu wako anakulinda. Biblia inasema usiogope....more19minPlay
FAQs about Biblia Inasema Usiogope:How many episodes does Biblia Inasema Usiogope have?The podcast currently has 57 episodes available.