Afrika Ya Mashariki

Changamoto za raia wa Afrika Mashariki kupata maji kwa ukaribu


Listen Later

Makala ya Afrika mashariki ikiangazia juu ya namna wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki wakiwa katika mkwamo wakupata katika huduma ya maji kwa ukaribu licha uwepo wa vyanzo vikumbwa vya maji.

Kwa mujibu wa tovuti ya Jumuiya ya Afrika mashariki, Maziwa makubwa yote mawili kwa maana ya ziwa Victoria na Tanganyika, na hatimaye, Mto White Nile hutegemea vyanzo vya maji vya kikanda vinavyojulikana kama  Minara ya maji Water Towers ya eneo hilo.

Minara ya Maji ya Afrika mashariki ni mkusanyiko wa mazingira ya milimani na mabonde ya mito yanayohusiana.

Maeneo haya yana ushawishi mkubwa kwa hidrolojia ya kikanda na mizunguko ya hali ya hewa duniani.

Licha ya uwepo wa minara hii bado serikali za wanachama wa jumuiya hii zipo katika mkwamo wakufikisha huduma za maji kwa wananchi walio wengi.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Afrika Ya MasharikiBy RFI Kiswahili


More shows like Afrika Ya Mashariki

View all
Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners