Miongoni mwa yale, tuliyokuandalia ni pamoja, DRC yamfuta kocha wa timu ya taifa ya mchezo wa soka Hector Cuper raia wa Argentina. Timu ya taifa ya wanawake ya Uganda, yaishinda Burundi 3-1 katika fainali ya michuano ya CECAFA. Michuano ya soka kwa mataifa ya Afrika kufuzu AFCON 2023.