Serikali ya DRC imezindua sera mpya ya ulinzi inayopendekeza kuwa vijana wote nchini humo wapate mafunzo ya kijeshi na kuundwa kwa jeshi la akiba hatua inayolenga kupamabana na makundi ya watu wenye silaha Mashariki ya taifa hilo.
Tumekuliza wewe Msikilizaji wetu:
Nini maoni yako kuhusiana na hatua hii?
Unafikiri itasaidia kwa hatua gani kupambana na utovu wa usalama mashariki ya DRC?
Leo Utakuwa nami Hillary Ingati