Waumini wa dini ya Kiisilamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kipindi hiki mataifa mengi ya Afrika mashariki yakishuhudia mfumko wa bei za bidhaa.