Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Habari RFI-Ki - Miaka 100 ya radio umuhimu wa chombo kwa msikilizaji wetu
    Mwaka 1921, chombo kipya cha Radio kilizaliwa, karne moja baadaye Radio hii haina mfano wake imebaki kuwa ni chombo kinachokuhabarisha, kukuburudisha, na kukupa nafasi ya kujieleza. Fursa ya kutuambia kumbukumbu zako kwa radio Hii. Msikilizaji, Je ? Redio hii imechangia chochote kwa maendeleo ya nchi yako? Inachukua nafasi gani katika maisha yako ya kila siku?
    11 min
  • Habari RFI-Ki - Wakaazi wa Goma warejea bila matumaini
    Hii leo tunakuletea Sehemu ya Tatu na ya Mwisho ya Makala maalum ya Habari Rafiki Kuhusu Goma, tumekuuliza wewe msikilizaji uko wapi na hali ikoje mahali uliko Baada ya mlipuko wa mlima wa volkano Nyiragongo.
    Mmekuwa wengi kushiriki makala hii maalum; shukrani zetu ziwaendee nyinyi wote mliochangia, msisahau kila siku ya jumatatu tutakuwa tukikuletea makala maalum kuhusu Goma.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka,kusikiliza zaidi.
    11 min
  • Habari RFI-Ki - Wakaazi wa Goma mashariki mwa DRC waukimbia mji kufuatia volkano
    Msikilizaji katika makala maalum ya Habari Rafiki ni kuhusu Goma mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tuambie uko wapi na hali ikoje mahali uliko baada ya mlipuko wa mlima wa volkano Nyiragongo.
    Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka, ili kusikiliza zaidi.
    Usisahau kutuma ujumbe wa sauti kwa namba ya WhatsApp +254110000420
    10 min
  • Habari RFI-Ki - Jeshi lachukua tena serikali nchini Mali
    Jeshi limechukua tena madaraka nchini Mali baada ya kukamatwa kwa rais Bah N'daw na Waziri Mkuu Moctar Oune.
    Makamu wa rais Assimi Goita afisa wa jeshi anasema hakushirikishwa na rais na Waziri Mkuu kuhusu mabadiliko katika baraza la Mawaziri.
    Nini mtazamo wako kuhusu kinachoendelea nchini Mali ?
    Dunia inaweza kuisaidia vipi Mali ?
    11 min
  • Habari RFI-Ki - Mlipuko wa Volkano Mashairki mwa DRC
    Idadi ya watu waliopoteza maisha inapozidi kuongezeka Mashariki mwa DRC kufuatia kuropomoka katika kwa Volkano katika mlima Nyiragongo, watalaam wa Jiolojia nchini humo wanasema walishindwa kutoa tahadhari kwa ukosefu wa fedha.
    Je, unafikiri raia wa Mashariki mwa DRC wanaelewa madhara ya Volkano ?
    Nini kufanyike kuzuia hasara kubwa iliyoshuhudiwa katika siku zijazo ?
    11 min
  • Habari RFI-Ki - Ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini Rwanda
    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatarajiwa kuzuru Rwanda wiki hii, ziara inayolenga kuimarisha mahusiano ya mataifa hayo mawili katika masuala ya siasa na uchumi, baada ya mauaji ya kimbari mwaka 1994 ambayo Rwanda imekuwa ikiishtumu Ufaransa kushiriki.
    Nini maoni yako kuhusu ziara hii ?
    Je, itasaidia kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili ?
    11 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners