Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

By United NationsNewsDaily News
Download on the App Store

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episodes

  • 28 AGOSTI 2026

    Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

    -Nchini Nepal, warakati za uokoaji zikiendelea  kuna hofu inayotanda juu ya uwezekano wa mafuriko mengine zaidi , mamia wamepoteza maisha , wengine kuokolewa na miundombinu kkusambaratishwa UN inafanya kila liwezekanalo kusaidia

    -Mkutano wa 17 wa nchi wanachama wa katab awa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Jangwa, UNCCD COP17, umehitimishwa hii leo mjini Ulaanbaatar, Mongolia, baada ya wiki mbili za majadiliano kuhusu uharibifu wa ardhi, kuenea kwa jangwa na ukame

    -Na Katika Kaunti za Garissa na Mandera  nchini Kenya ukame umewaweka wananchi katika changamoto ya kupata maji safi na salama, huku jamii zikilazimika kutembea umbali mrefu kutafuta maji

    10 min
  • JIFUNZE KISWAHILI - NENO KIROBEZO

    Na sasa ni wasaa wa kujifunza Kiswahili, na leo tunamkaribisha Ntahombaye Hussein, Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari wa Kiswahili nchini Burundi, CHAWARUNDI. Anafafanua maana ya neno Kirobezo.

    Hili linahusu wale wanaopenda kupitapita maeneo ya watu kuvizia mlo.

    0 min
  • 27 AGOSTI 2026

    Leo jaridani kuna Mada kwa Kina inakupeleka Uganda kumulika Siku ya Ziwa duniani hususan Ziwa Albert.

    Lakini pia kuna Muhtasari ukiwasilishwa na Leah Mushi akiangazia kumalizika kwa mlipuko wa Ebola, Uganda; Kauli ya Katibu Mkuu wa UM kuhusu maambukizi ya Ebola nchini DR Congo na kisha chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini.

    Jifunze Kiswahili leo inabisha hodi nchini Burundi kwa Mwenyekiti wa CHAWARUNDI 

    Karibu na mwenyeji wako ni Assumpta Massoi.

    10 min
  • 26 AGOSTI 2026

    Leo mada yetu kwa kina inaangazia mkutano wa 17 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Jangwa UNCCD COP17 unaofanyika huko mjini Ulaanbaatar, Mongolia kuanzia tarehe 17 mpaka 28 mwezi huu. 

    Mwenzangu Leah Mushi wa idhaa hii amezungumza na wadau wanaohudhuria mkutano huo, wa kwanza anaanza kwa kujitambulisha. 

    10 min
  • 25 AGOSTI 2026

    UN na ICRC watoa wito mpya wa kanuni kuhusu silaha zinazojiendesha zenyewe.

    Mageuzi ya Kilimo ya Malawi: Mwanzo mpya kwa wakulima wadogo.

    Vijana wa Yambio Sudan Kusini wataka elimu, usalama na nafasi zaidi katika uamuzi.

    10 min
  • 24 AGOSTI 2026

    Siku 100 tangu Ebola kutangazwa nchini DRC hali inazidi kuwa mbaya.

    Pamoja na kuchukua hatua WHO yaonya kuhusu kuongezeka kwa wagonjwa wa mpox Guinea-Bissau. 

    Ufadhili mpya wa dola milioni 22 za marekani kwa elimu ya watoto walioathiriwa na mgogoro Sudan.

    10 min
  • 21 AGOSTI 2026

    Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nduha anakuletea

    -Julien Harneis, Mratibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Ebola  amesema  nchini DRC “Katika miezi mitatu iliyopita watu 2,500 wamekufa na nusu yao wamekufa katika kipindi cha siku tatu zilizopita na mlipuko unaendelea kusambaa zaidi, hivi sasa umesambaa katika eneo lenye ukubwa sawa na nchi ya Ufaransa.”

    -Hali ya ukosefu wa fedha ni mbaya pia nchini Somalia ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema kuwa kupunguzwa kwa ufadhili wa kibinadamu nchini Somalia kumesababisha kufungwa kwa vituo 205 vya afya na lishe, huku watoto wanaougua utapiamlo mkali wakisafiri umbali mrefu kutafuta matibabu wakati mwingine wakifika hospitalini wakiwa katika hali mahututi.

    -Leo ni ni siku ya Kimataifa ya Kuwakumbuka na Kuwaenzi Waathirika wa Ugaidi Duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake kwa siku hii amezungumzia kaulimbiu ya mwaka huu inayosema “Uponyaji kupitia Kumbukumbu,” akasisitiza kuwa kuwakumbuka waathirika kunaweza kuwa njia ya kuelekea uponyaji na kuanza upya.

    -Na katika mada kwa kina leo tuko Uganda kwake manusura wa ugaidi Hassan Ndugwa akisimulia kilichomsibu 2010 na hatua alizochukua katka kupambana na itikadi kali na fikra potofu kuhusu ugaidi na kuudhibiti

    10 min
  • 20 Agosti 2026

    Tume ya UN: Uchaguzi Sudan Kusini usigeuke kuwa uwanja mwingine wa mapigano

    WFP yaongeza operesheni za msaada kwa manusra wa teteko la ardhi Colombia

    Umoja wa Mataifa na Sudan Kusini waimarisha maandalizi dhidi ya Ebola

    12 min

About Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

From the publisher's feed

Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

More shows like Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ONU Info - L'actualité mondiale Un regard humain by United Nations

ONU Info - L'actualité mondiale Un regard humain

14 Listeners

ONU en minutos by United Nations

ONU en minutos

43 Listeners

ONU News - Perspectiva Global Reportagens Humanas by United Nations

ONU News - Perspectiva Global Reportagens Humanas

5 Listeners

UN News Today by United Nations

UN News Today

95 Listeners

联合国新闻 - 全球视野, 常人故事 by United Nations

联合国新闻 - 全球视野, 常人故事

25 Listeners

Новости ООН - Глобальный взгляд Человеческие судьбы by United Nations

Новости ООН - Глобальный взгляд Человеческие судьбы

9 Listeners

أخبار الأمم المتحدة - منظور عالمي قصص إنسانية by United Nations

أخبار الأمم المتحدة - منظور عالمي قصص إنسانية

18 Listeners

यूएन समाचार - वैश्विक परिप्रेक्ष्य मानव कहानियां by United Nations

यूएन समाचार - वैश्विक परिप्रेक्ष्य मानव कहानियां

4 Listeners

UN Interviews by United Nations

UN Interviews

8 Listeners

UNcomplicated by United Nations

UNcomplicated

15 Listeners

The Lid is On by United Nations

The Lid is On

8 Listeners

UN Weekly by United Nations

UN Weekly

10 Listeners

UNiting Against Hate by United Nations

UNiting Against Hate

4 Listeners

amplifyHER by United Nations

amplifyHER

4 Listeners

世界进行时 by United Nations

世界进行时

0 Listeners

前方视野 by United Nations

前方视野

0 Listeners

Podcast ONU News by United Nations

Podcast ONU News

0 Listeners

Actualités by United Nations

Actualités

0 Listeners