Hawa Mayoka ,maarufu Hawa Nitarejea, afunguka kuhusu safari yake ya muziki
Ni msanii aliyeshirikishwa katika wimbo wa kwanza wa Nasib Abdul maarufu Diamond Platinamuz unaoitwa Nitarejea, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond wakati akirekodi ngoma hiyo, sasa nini kinafuata?
Ungana na Steven Mumbi katika makala haya ya Nyumba ya Sanaa akizungumza nae kuhusu Safari yake ya Muziki akiwa na Kbao Kipya Naelewa.