Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu, jumapili ya leo nakupeleka huko Mombasa nchini Kenya kuangazia mji wa Kale mjini hapo, na kwenye le parler francophone tutaangazia nini kilichoandaliwa na Institut Francais de Lubumbashi na Alliance francaise ya Nairobi na Mombasa. Na kwenye Muziki leo nakuletea mwanamuziki Willy Paul kutoka nchini Kenya mimi naitwa Ali Bilali ninakukaribisha Karibu, Ama Bienvenue et Bon Reveil Matinale, yaani asubuhi Njema.