Historia ya siku ya mashujaa nchini Kenya Octoba 20
Karibu katika Makala ya Changu Chako Chako Changu hii leo nakuletea historia ya siku ya mashujaa ambayo husherehekewa kila Octoba 20 ya kila mwaka nchini Kenya, na kwenye kipengele cha Muziki tutaangazia tamasha la Muziki Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki wa Bongo Fleva Mbwana Yusuf Kilungi maharufu Mbosso.