Mkuu wa umoja wa Ulaya na viongozi wengine wa bara hilo wameafikiana na rais wa Tunisia Kais Said kuhusu namna ya kuwazuia wahamiaji wanaotoka barani Afrika kwenda Ulaya.