Je, suluhu ya kisiasa itazaa matunda kuhusu mzozo wa DRC
Suluhu ya kudumu kuhusu mzozo wa usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, haijapatikana mpaka sasa. Waasi wa M 23, wameendelea kupambana na wanajeshi wa serikali. Jumuiya ya Kimataifa, inasema suluhu ni ya kisiasa. Je, itawezekana ?
Tunajadili hili na wachambuzi, Price Mugasalusha na Edwin Kegolu, kutoka kwenye ukumbi wa Alliance Francais jijini Nairobi.