Nchini Kenya siasa zimeanza tena miezi tano tu baada ya uchuguzi mkuu, siasa hizo zikichochewa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kukataa kutambua serikali ya rais William Ruto.
Je hili lina maana gani ?Benson Wakoli, amezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Brain Mutie katika makala haya ya wimbi la siasa.