Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi Mkuu nchini Kenya, tunaendelea kukuarifu kinachoendelea kipindi hiki joto la kisiasa linapoendelea kupanda.
Wageni wetu ni Ababu Namwamba kutoka muungano wa Kenya Kwanza, unaomuunga mkono mgombea urais William Ruto na Beatrice Elachi kutoka muungano wa mgombea mwingine Raila Odinga, kutoka muungano wa Azimio la Umoja.