Jukwaa la Michezo

Jukwaa la Michezo

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jukwaa la Michezo episodes

  • Kombe la dunia la Wanawake: Timu za Afrika zafika hatua ya 16 bora
    Tuliyokuandalia Jumamosi hii, ni pamoja na uchambuzi wa timu za Afrika kwenye raundi ya mtoano Kombe la Dunia la wanawake katika mchezo wa soka. Kombe la dunia la netiboli kwa kina dada na mechi ya ngao ya jamii ya Uingereza kati ya Manchester  City na Arsenal. Pia matokeo ya mashindano ya La Francophonie inayokamilika Jumapili nchini DRC, miongoni mwa mengine.
    24 min
  • Michezo ya Francophonie yaanza jijini Kinshasa
    Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na kuanza kwa  mashindano ya La Francophonie nchini DRC, maandalizi kuelekea Olimpiki ya mwaka 2024? Uchambuzi wa mechi za Kombe la Dunia soka la kina dada droo ya klabu bingwa barani Afrika na michuano ya Kombe la Dunia mchezo wa netiboli.
    24 min
  • Vingegaard bingwa wa mashindano ya Tour de France mwaka 2023
    Miongoni mwa tuliyokuandalia ni pamoja na Jonas Vingegaard ndio bingwa wa mashindano ya kukimbiza baiskeli ya Tour de France ya mwaka 2023 , uchambuzi wa mechi za Kombe la Dunia la wanawake, mashindano ya  riadha Monaco Diamond League, tetesi za uhamisho barani Afrika na Ulaya pamoja na maandalizi ya mashindano ya La Francophonie nchini DRC.
    24 min
  • Tennis: Vondrousova amshinda Ons Jabeur kunyakua taji la Wimbeledon 2023
    Miongoni mwa matukio hayo ni pamoja na uhamisho wa wachezaji wa klabu za soka kutoka nchi za Afrika Mashariki kuelekea kuanza kwa msimu mpya.
    Droo ya hatua ya makundi kwa mataifa ya Afrika kufuzu kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2026 katika mchezo wa soka nchini Marekani, Mexico na Canada.
    Katika mchezo wa Tennis, kuwania taji la Wimbeledon, Marketa Vondrousova ndio bingwa kwa upande wa wanawake….miongoni mwa mengine mengi
    24 min
  • Morocco mabingwa wa taji la vijana wasiozidi miaka 23 Afrika
    Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na Morocco kushinda ubingwa wa kombe la Mataifa ya Afrika U23, timu ya soka ya wanawake ya Afrika Kusini Banyana Banyana yafanya  uamuzi wa kuelekea Newzealand kwa ajili ya michuano ya Kombe la dunia baada ya kusuluhisha mzozo wa malipo.
    24 min
  • Michuano ya soka kutafuta ubingwa vijana chini ya miaka 23 yashika kasi Morocco
    Miongoni mwa yale  tuliyokuandalia ni pamoja na  klabu ya Kakamega Homeboyz kutoka Kenya, kufuzu kwenye michuano ya Shirikisho barani Afrika msimu ujao, mashindano ya Fatshi Cup kuanza leo nchini DRC, uchambuzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika U23, matokeo ya michezo ya Ufukweni barani Afrika na riadha za Diamond League naye Mbappe aongoza wachezaji wa timu za ufaransa kukomesha vurugu kufuatia maandamano.
    24 min
  • Tennis: Morocco mabingwa wa taji la Billie Jean King
    Miongoni mwa yale tuliyokuandalia Jumamosi hii, ni pamja na Morocco yashinda  taji la tenisi Billie Jean King  barani Afrika , uchambuzi wa mechi za kufuzu Kombe la EURO na Kombe la mataifa ya Afrika mwaka ujao, kocha Nabi kuondoka Yanga na matokeo ya riadha Oslo Diamond League.
    24 min
  • Faith Kipyegon avunja rekodi ya dunia kwenye mbio za Mita 5,000
    Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na Mkenya Faith Kipyegon kuvunja rekodi ya dunia katika  mbio za Mita 5,000 katika mashindano ya riadha ya Diamond League jijini Paris, Iga Swiatek ashinda tena taji la French Open kwenye mashindano ya Tennis na fainali ya klabu bingwa barani Ulaya, kati ya Manchester City na Inter Milan.
    24 min
  • Manchester City mabingwa wa taji la FA nchini Uingereza
    Kocha wa klabu ya Manchester City nchini Uingereza, Pep Guardiola ameiongoza klabu yake kuishinda Manchester United mabao 2-1 katika fainali ya FA. Fainali ya pili ya shirikisho barani Afrika kati ya USM Algier na Yanga kutoka Tanzania, matukio ya riadha na Tennis ni miongoni mwa yale tuliyokuadalia kwenye Makala ya leo.
    24 min

About Jukwaa la Michezo

From the publisher's feed

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano…

More shows like Jukwaa la Michezo

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners