Mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya, inalenga kuhakikisha kadi zote za simu zinasajiliwa kufikia April 15, la sivyo zitazimwa, mamlaka hiyo ikisema hilo linalenga kuzia wizi wa mitandaoni.